Paka maziwa ya mbuni siku mbili tu mikono inakuwa laini kama mlendaHabari wanajamii forums,
Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono?
Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu.
View attachment 2642596