Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

Habari wanajamii forums,

Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono?

Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu.

View attachment 2642596
Chukua Vaseline ya mgando ni mazuri changanya na mafuta ya Nazi au Alovera Gel inakupa mostuirize vizurii sana.
 
Habari wanajamii forums,

Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono?

Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu.

View attachment 2642596

Tafuta hela, italainika tu bila kufanya chochote
 
Back
Top Bottom