Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

Paka maziwa ya mbuni siku mbili tu mikono inakuwa laini kama mlenda
 

Cocoa butter OG, tumia kila siku
 
Sugu za kujichubua hizo
 
Bongo bwana kuwa na mikono laini imekuwa shida.......Hili ni jukwaa la utanashati......kuwa smart ni aina ya lifestyle mtu aliyoichagua

All in all asante wote wenye positive feedback
Watu wa humu inabidi uwavilie Tu...

Mikono kua migumu inategemea na Maisha unayopitia Kwa mfano kama unafanya kazi ngumu za mikono kama vile shamba au ujenzi lazima mikono iwe migumu...

Ila Kwa wanaume wanaokula bila kutesa mikono Yao obviously ni milaini
 
Swali wewe ni mwanaume au mwanamke? Nitashangaa kama mwanuume anajali ulaini wa ngozi yake kiasi hicho.πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…