Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

Mm naijua dawa ya mitishamba kwaajir ya klainsha ngoz, Tumia majan ya mnimba kwa kuyachemsha kwa 30 minutes. Then nawa morn baada ya kuamka na uck kbla ya klala, utanshukur later on [emoji1621][emoji1621]
 
Wanaobeza wanaume kulainisha mikono ni wapuuzi tu wasiojitambua
Watu wanafanya kazi ngumu zinazoumiza mikono na kuwa migumu kuliko kawaida
Jambo linalopelekea kutafuta utatuzi wa hiyo changamoto ili mikono iwe normal jinga linakuja kubeza hapa
 
Utaanza na mikono utafuta mapaja. Kijana unataka mikono laini ikusaidie nini?? Pata hela, ukila vizuri ngozi yenyewe inajitengeneza.

NB.
Jaribu kua unapaka bluband au Glycerine mikononi
Huwa unaandika maneno yenye hekima sometimes ila leo umezingua sanaaa,

Swala la hela na kuwa na ngozi anayeitaka jama linahusiana vipi?

Mtu kaomba msaada wewe wataka kujua anataka kuitumia vipi mikono yake. Hiyo sio kazi yako wewe mpe njia au namna yakufanya kwakile anchohitaji hayo mengine sio kazi yako

Punguza Ego broo
 
Unataka kuwa laini kama mademu chalii
 
Utaanza na mikono utafuta mapaja. Kijana unataka mikono laini ikusaidie nini?? Pata hela, ukila vizuri ngozi yenyewe inajitengeneza.

NB.
Jaribu kua unapaka bluband au Glycerine mikononi
Au apake mkojo wa pundamilia,unasaidia sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF bhana, khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…