Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kasema siku zake, labda tumuombe na mkataba wa umiliki tuuchambue Kama Dipiwodiš¤£Weka wazi , ni siku gani unazungumzia
Mkuu,Kwema,
Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.
Uje ghetto kwangu nitakusaidia kuzitafuta siku zako mkuu, uje PMKwema,
Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.
Hiki ni nini?
ingia youtube au fb insta andika hilo jina afu njoo apaHiki ni nini?
Wewe sema ni niniingia youtube au fb insta andika hilo jina afu njoo apa
Huyu ni mwanaume kaamua tu kuchangamsha, juzi kaandika thread amepoteza milion 5 stand, jana kaandika amepona ameruhusiwa kutoka mirembe, hapa tena anatafuta siku zake.Mkuu,
Pole kwa changamoto.
Je, nini kinakutatiza na una miaka mingapi? Hebu eleza changamoto yako kwa undani kidogo.
maamuzi yako kama unataka kujua au laahWewe sema ni nini
mwende basi mumsaidie kutafuta uenda ikawa kweli hazioniHuyu ni mwanaume kaamua tu kuchangamsha, juzi kaandika thread amepoteza milion 5 stand, jana kaandika amepona ameruhusiwa kutoka mirembe, hapa tena anatafuta siku zake.
Possible bado yupo mirembe
Huyu ni mwanaume kaamua tu kuchangamsha, juzi kaandika thread amepoteza milion 5 stand, jana kaandika amepona ameruhusiwa kutoka mirembe, hapa tena anatafuta siku zake.
Possible bado yupo mirembe
labda ni haemaphroditeš¤£š¤£Siku nyingine unavaa uhusika wa mwanaume , siku nyingine unavaa uhusika wa mwanamke. We ni jinsia gani mkuu?