Nifanyeje ili niweze kujua siku zangu?

Nifanyeje ili niweze kujua siku zangu?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Kwema,

Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee

Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.
 
Tulia njoo guest chumba namba 835 ugonga.

NapitaKamaRadi
 
Kwema,

Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee

Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.
Mkuu,

Pole kwa changamoto.

Je, nini kinakutatiza na una miaka mingapi? Hebu eleza changamoto yako kwa undani kidogo.
 
Uje ghetto kwangu nitakusaidia kuzitafuta siku zako mkuu, uje PM
 
Mkuu,

Pole kwa changamoto.

Je, nini kinakutatiza na una miaka mingapi? Hebu eleza changamoto yako kwa undani kidogo.
Huyu ni mwanaume kaamua tu kuchangamsha, juzi kaandika thread amepoteza milion 5 stand, jana kaandika amepona ameruhusiwa kutoka mirembe, hapa tena anatafuta siku zake.

Possible bado yupo mirembe
 
mwende basi mumsaidie kutafuta uenda ikawa kweli hazioni
 
Siku nyingine unavaa uhusika wa mwanaume , siku nyingine unavaa uhusika wa mwanamke. We ni jinsia gani mkuu?
 
Huyu ni mwanaume kaamua tu kuchangamsha, juzi kaandika thread amepoteza milion 5 stand, jana kaandika amepona ameruhusiwa kutoka mirembe, hapa tena anatafuta siku zake.

Possible bado yupo mirembe

Mwenyewe nimeshangaa.
 
Back
Top Bottom