kisana moja
Member
- Aug 27, 2013
- 52
- 13
-Kwanza jenga tabia ya kufuatilia taarifa za habari wakati wote, Pili jenga tabia ya kufuatilia mijadala ya siasa mara kwa mara, jaribu kufuatilia hotuba za viongozi wenye mitizamo tofauti tofauti kutoka maeneo tofauti tofauti,Jaribu kufikiria ili uweze kuwa na mawazo makini kutokana na kile unachojifuza kutoka kwa wengine. Kisha za kuambiwa changanya na zako.
kisana moja, Naamini haya nayo yanaweza saidia...
1. Epuka kutafuniwa. Ukipewa habari wewe unaichukua kama ilivyo na kuikumbatia.
2. Epuka ushabiki, siku zote tazama jambo free of emotions with a clear mind bila kujalisha ni kitu gani.
3. Penda sana kusoma, kusoma hakuhusu tu mambo ya Siasa, yale ambayo ni msingi hasa yale ambayo kwa namna moja ama nyingine huguswa na Siasa. Take note; Siasa kama siasa ni narrow, kinachofanya iwe pana ni yale mengi ambayo hufanywa kwa jina la Siasa.
4. Uwe na an open Mind. Kusikiliza pande zote hata kama zipo nyingi za entity yoyote ambayo unataka kuielewa, na kuzisikiliza kwa umakini ulio sawa na vile vile katika kufuatilia entity husika.
5. Jf is the best place ya kujifunza Uchambuzi, si lazima ukawa mchangiaji kwa muda. Unaweza kuwasoma wadau mbali mbali katika mada mbali mbali wanavyochambua hoja zao (iwe za kukubaliana ama kukataliana) na hivyo yaweza kuchangia wewe kuelewa na kuongeza kitu katika uchambuzi.
6. Amini na usimamie kile ambacho wewe unaamini huku ukiwa hodari kujihusisha mijadala hasa na wale ambao wapo tofauti na wewe kimawazo ili kujitafakari upya kile ambacho unaamini na kile ambacho unakijua (Ukiacha walau nafasi kidogo ya kubadili msimamo endapo tu hoja na msimamo wako umeonyeshwa si njia sahihi).
7. Na mengine mengi...
Kuna members hapa Jamvini wataalam wa Uchambuzi wa Mambo ya Siasa wakipata nafasi pengine wataweza kuongezea kwa manufaa ya wengi.
CC - Nguruvi3, Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, EMT, Jasusi, Mag3, Rutashubanyuma, Ngongo, n00b, Ben Saanane, Mkandara, na wengine weengi.

CC - Nguruvi3, Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, EMT, Ng'wamapalala, Pasco, Jasusi, Mag3, Rutashubanyuma, Shayu, Ngongo, jouneGwalu, n00b, Ben Saanane, Mkandara, Zakumi na wengine weengi.

tupe matokeo yako ya kidato cha nne na sita kwanza!!Habari Wakuu,
Kwa watu wanaopenda kutoa maarifa kwa manufaa ya wengine ningependa wanisaidie kwa hili; nahitaji kuwa mchambuzi wa masuala ya Siasa ila sijui njia itakayo niwezesha kuwa mchambuzi.
Msaada wenu tafadhali.