Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
7.By AshaDii![]()
![]()
kisana moja, Naamini haya nayo yanaweza saidia...
..........................................
Na mengine mengi...
Kuna members hapa Jamvini wataalam wa Uchambuzi wa Mambo ya Siasa wakipata nafasi pengine wataweza kuongezea kwa manufaa ya wengi.
CC - Nguruvi3, Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, EMT, Ng'wamapalala, Pasco, Jasusi, Mag3, Rutashubanyuma, Shayu, Ngongo, jouneGwalu, n00b, Ben Saanane, Mkandara, Zakumi na wengine weengi.
jingine la muhimu ni kukubali kukosolewa pale unapoona umekosea kwani hakuna ajuaye yote. Sote ni vipofu ambao tunampapasa tembo. Wengine wamemgusa sikio wanadhani ni kama ungo..........................wengineo wamempapasa mgongo wanadhani tembo ni kama ukuta........................wengineo wamemshika mkia wanadhani tembo ni kama nyoka...................wengineo tumemshika mguu twadhani ni kama mchi wa kutwangia bila ya kujiuliza kinu chake kiko wapi?
