Wanaume wengi hukimbia majukumu Yao pamoja na uleviKabla ya kuwahurumia fatilia background zao kwanza,wengine inawezekana wamenyoshwa na maisha Ila hapo kabla walikuwa hawashikiki.Hakuna mwanaume anaweza telekeza mke na watoto hivi hivi tu
Asante kwa ushauriOngeeni na majirani wenzenu muone wawasaidia vipi.. kama hawana magonjwa basi wanaweza kusaidika. Uzuri Chuga kuna sehem watu wanasaidia wasiojiweza pia Wqtu wa huko wanajitoa sana.
Kama umeguswa toa ulipogusika, Unaweza hamasisha na wengineo huko mlipo ila chobde chonde swala la kutoa ni kutoka moyoni ukitumia nguvu sana kuhamasisha watu utaitwa tapeli.
Pengine unapofanya wema unakua umeguswa ww nafsini mwako usianze kufanya recruitment ya wengine kuguswa na ulichoguswa.
Kabla ya kuwahurumia fatilia background zao kwanza,wengine inawezekana wamenyoshwa na maisha Ila hapo kabla walikuwa hawashikiki.Hakuna mwanaume anaweza telekeza mke na watoto hivi hivi tu
Hawa wanawake wananiuma sana unakuta mwanamke anachoma mahindi na mtoto mgongoni hadi saa nne za usiku, mwingine ni chinga anatembeza bidhaa barabarai na mtoto mgongoni huku mvua na jua ni yake 😭😭😭Sio hao tu...shoga ukifungua NGO utaona tutakavyokutana huko ..sio hao tu!.all the best lov ake!
Hawa wanawake wananiuma sana unakuta mwanamke anachoma mahindi na mtoto mgongoni hadi saa nnee za usiku, mwingine ni chinga anatembeza bidhaa barabarai na mtoto mgongoni huku mvua na jua ni yake 😭😭😭
Ndo hivyoKuwa serious!
Ngumu sanaNdo hivyo
mpaka walioko kwenye ndoa wengine wametelekezwa!Sio hao tu...shoga ukifungua NGO utaona tutakavyokutana huko ..sio hao tu!.all the best lov ake!
Mkuu inategemea na umri wako,but utakapo kuwa mtu mzima utayakumbuka haya ninakuambia.Mwanamke ni wa kuhandle kwa akili sanaNgumu sana
Mkuu inategemea na umri wako,but utakapo kuwa mtu mzima utayakumbuka haya ninakuambia.Mwanamke ni wa kuhandle kwa akili sana
mpaka walioko kwenye ndoa wwngine wametelekezwa!
Kweli aisee maandiko Matakatifu yanakataza.Wewe saidia unapoweza, mambo yakuja kujionyesha mitandaoni kuwa umemsaidia mtu hayana maana