Nifanyeje kuwasaidia hawa wanawake waliotelekezwa?

Wakuu naandika haha huku moyoni Nikita na uchungu sana kwa. Kweli.

Hapa mitaani ninapokaa kuna baadhi ya wamama wakiwa na watoto wao wadogo waliotelekezwa na waume zao wanateseka sana hapa mitaani na kutokana na kula yao kuwa ya shida afya zao sio nzuri na wengine kupelekea kuwaachisha kunyonyesha mapema kutokana na ukosefu wa chakula.

Hawa wakina mama wanaopata shida ya namna hiyo wako mitaa mingi tu hapa na sijaona juhudi zozote za moja kwa moja toka serikalini za kuwasaidia hawa wakina mama wajane na waliotelekezwa na watoto wao.

Tafadhalini waungwana wa JF naweza vipi kuwasaidia hawa wanawake aidha kwa kuomba misaada au vyovyote vile inavyowezekana kuwatoa katika Hali mbaya walizonazo?

Mimi kwa Upande wangu nimeweza kumsaidia mmoja kafungua biashara ndogo ndogo na anaendelea vizuri na biashara yake pamoja na watoto wake wawili.

Nipo tayari kuanzisha taasisi ya kuwasaidia aina hii ya Wanawake endapo nitapata michango yenu.

Asanteni
Umesema hapo unapokaa, ni kwamba umepanga maeneo hayo? Au umeenda kikazi tu hapo au namna gan? Nijibu ndo nikuulize maswali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom