ndio mkuu, hayo ni maagizo ya mungu, imeandikwa na hao wanawake ishini nao kwa akili.Mkuu inategemea na umri wako,but utakapo kuwa mtu mzima utayakumbuka haya ninakuambia.Mwanamke ni wa kuhandle kwa akili sana
Sasa hao ustawi WA jamii fungu la kuwahudumia hao watalipata wapi? Kama Serikali inayokusanya Kodi haina uwezo wa kuwahudumia, wewe utaweza? Watu wanavyozungumza kuhusu uzazi wa mpango nyinyi munatukana mabeberu. Suluhisho ni kusaidia kadri ya uwezo wako, kwani hata yesu alitusaidia lakini binadamu tukamdhihaki.Ina maana huko mitaani hao ustawi WA Jamii hawayaoni haya?
Wanaume wengi hukimbia majukumu Yao pamoja na ulevi
Wanawake wengi wa dizaini hiyo ni akili kisoda , na unakuta janamke kama hilo limeshazungusha huyo mtoto kwa wanaume kama kumi hivi na kote huko linasakizia linataka pesa za matunzo na linafanya vurugu na vitisho vya kila aina....usipokuwa na misimamo unajikuta unalea litoto ambalo halikuhusu...Hakuna mwanaume anayekimbia majukumu yake ndg,nadhani huijui jeuri ya mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nielekeze jinsi ya kuwapata hao SOSKumbe wamekimbia mbali kabisa.....Basi wasaidie kupata connection na organizations kama vile SOS
SOS Children’s Villages is dedicated to work for the children who have lost the parental care and those at risk of losing parental care
Ndugu huu si muda wa lawama, huu ni muda wa kutafuta solution ya tatizo na si kulaumianaWanawake wengi wa dizaini hiyo ni akili kisoda , na unakuta janamke kama hilo limeshazungusha huyo mtoto kwa wanaume kama kumi hivi na kote huko linasakizia linataka pesa za matunzo na linafanya vurugu na vitisho vya kila aina....usipokuwa na misimamo unajikuta unalea litoto ambalo halikuhusu...
😢 unataka kuniambia hao single mother wote ni. Majeuri? Na vipi kwa wale mabinti waliopewa Mimba bado wadogo na. Wakatelekezwa?Hakuna mwanaume anayekimbia majukumu yake ndg,nadhani huijui jeuri ya mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute hao walikuwa wabinua midomo kama kikoKabla ya kuwahurumia fatilia background zao kwanza,wengine inawezekana wamenyoshwa na maisha Ila hapo kabla walikuwa hawashikiki.Hakuna mwanaume anaweza telekeza mke na watoto hivi hivi tu
Kuna mama mmoja jirani yangu hapa mwanaume alikuwa anamtesa Sana ikiwa ni pamoja nakulewa na. Kutoangalia watoto kabisa wala kuacha hela ya matumizi ya watoto.Unapoamua kuolewa na mwanaume ili mradi uonekane umeolewa tu
Tuwe serious ktk kuchagua wachumba
Kwa waliotelekezwa ndio wakati wa familia zote mbili za upande wa mume na mke kuingilia kati kuokoa watoto
Ukibebesha huo mzigo wa wasamaria wema hiyo haitakuwa sustainable solution
Hizi ndo excuse za ajabu, kama walio zaa hao watoto hawawi responsible unafikiri ni nani hana majukumu yake ya kufanya abaki na kazi ya kuhurumia watoto wanaotelekezwa na wazazi wasio jitambua...😢mkuu kuwa kidogo na huruma kwa watoto, maana wanaoteseka ni watoto
Umetufungulia NGO nini?..haya boss wanguMremboo badae ntakuhitaji sana kwenye huu uzi
Solution atafute nani sasa, kwa nini ubebeshe mzigo mtu mwingine akutafutie solution kwa kutowajibika kwako......huu upuuzi hautakiwi kuwa entertained, unapoenda kupanua mapaja lazima uwe na akili timamu ya kutambua kinachoweza kutokea na namna utakavyokabiliana na lolote litakalotokea. Mijanamke kama hii ndo unakuta limejaza mitoto isiyo na baba kwa wazazi wake kutwa ni kusumbua kaka zake na ndugu wengine eti mtoto hana ada, mara karudishwa nyumbani hana uniform, yaani ni hasara tupu...Ndugu huu si muda wa lawama, huu ni muda wa kutafuta solution ya tatizo na si kulaumiana
Sijui utaratibu vizur.....Ila njia rahisi naona ni kufika kwenye office zao.........Nadhani hapa Tz wapo Dar, Mwanza, Arusha n.kNielekeze jinsi ya kuwapata hao SOS
Solution atafute nani sasa, kwa nini ubebeshe mzigo mtu mwingine akutafutie solution kwa kutowajibika kwako......huu upuuzi hautakiwi kuwa entertained, unapoenda kupanua mapaja lazima uwe na akili timamu ya kutambua kinachoweza kutokea na namna utakavyokabiliana na lolote litakalotokea. Mijanamke kama hii ndo unakuta limejaza mitoto isiyo na baba kwa wazazi wake kutwa ni kusumbua kaka zake na ndugu wengine eti mtoto hana ada, mara karudishwa nyumbani hana uniform, yaani ni hasara tupu...