Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Tukianza kuongelea malezi acha kabisa..UMENIITA AU??
Tukianza kuongelea malezi acha kabisa..UMENIITA AU??
Tukianza kuongelea malezi acha kabisa..
Hadi kuitwa wanaume kaptulana sisi wanaume tuliotelekezwa na wake zetu tunateseka, tusaidiwe
Mhanga huwa ndiye anapaswa kwenda kutoa mashtaka zidi ya mwenza wakeIna maana huko mitaani hao ustawi WA Jamii hawayaoni haya?
Hapana dada Visa hivi bila balancing vinaumiza vichwa, mwanaume/mwanamke akimkataa mwenzake hamna namna, labda la kulea watoto, mwanamke hatelelezwi Bali mtotoInaonekana bado u mtoto
Kama kakutelekeza why don't you file for the divorce? Kuliko kukaa sehemu yenye manung'unikoUMENIITA AU??
Wataalam Kama thebosslady-Zari hata umuachie watoto kumi hapigi keleleShida kubwa inakuja kwenye majukumu ya malezi ya watoto
Hilo ni tatizo la kifamilia na linataka solution ya kifamiliaSipo Dar, kuna wanawake kibao mikoani huku wanateseka
Kumbe wamekimbia mbali kabisa.....Basi wasaidie kupata connection na organizations kama vile SOSSasa mwanaume kakimbia na hajulikani Alipo atamshtakije hapo
Sawa mkuu.Sikiliza wimbo wa alikiba Kuna neno linaitwa dushelele Kaka sijakosea
Nope!..sijatekelezwa...Kama kakutelekeza why don't you file for the divorce? Kuliko kukaa sehemu yenye manung'uniko
mama wawili
Bora aisee....hope msaada utapatikana..all the bestNjoo DM
Unapoamua kuolewa na mwanaume ili mradi uonekane umeolewa tuShida kubwa inakuja kwenye majukumu ya malezi ya watoto
Mkuu hujui kuwa hata wanawake huwa wanakimbia nyumba zao baada ya kurubuniwa na mchepuko?mchepuko ukisepa anapaki njia panda na mtoto.Wanaume sometimes mnawaonea sanaSasa mwanaume kakimbia na hajulikani Alipo atamshtakije hapo