Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Anakuchekea ili uendelee kula hapo.

Bila kuwa mcheshi ni ngumi kupata mauzo ya kuridhisha.
 
Huna hiyo miaka 29, nakujua kuliko ninavyojua sehemu zangu za siri, kwanza umepangiwa na wazazi wako kuanzia simu mpaka boksa ni vya baba yako hujua a wala b ndio maana unakubali kushikwa kalio na mganga

nilishakwambiaga maisha hayapo hivyo we endelea kunako endelea serikali itazidisha kodi kwenye pampasi za watu wazima kwa % 200 ili watu kama nyie mvae mifuko ya lailoni

acha ujinga kwani ukisoma mada za kukuelimisha kunanini?
au kuandika hivi ndio kutakufanya upendwe na mademu aaa wapi maana meno yenyewe huna

mwisho unamiaka ambayo tukijumlisha na nyongeza ya 1 hufiki 21
 
Huyo kashakuona wewe mjinga umri mkubwa na bado unakura kwenye vibanda umiza ujitambui.......kicheko chake ni dharau ndio maana unaona anakupa signed...........
 
Ile forum yenu inaendeleaje dogo? Sema we binadamu mtakavitu una shida sana 🀣.

Paragraph yote hiyo ya nini sasa?

Cc Gily Gru huyu mtoto wako vipi mkuu?
 
Ile forum yenu inaendeleaje dogo? Sema we binadamu mtakavitu una shida sana 🀣.

Paragraph yote hiyo ya nini sasa?

Cc Gily Gru huyu mtoto wako vipi mkuu?
forum ipi? binadamu mtakavitu yupu
Upumbavu wako unakufanya uwehuke na huyo Gily Gru unamtakia nini? ana mke huyo hataki mke wmingine

tumia akili dogo linda linamuda tu ila baada ya hapo ukishavaa pampasi hakuna atakaye kujali last hatutoi mchango maana ni zako kuja kuomba pesa PM kisingizie unauza mk unabaati yule member uliemtumia picha zako za mk kapoteza simu
 
Kwani na account kapoteza πŸ€£πŸ˜‚ Andazi muache last born wa JF πŸ˜‚πŸ€£
 
Carleen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…