Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Andazi mpelekeni mdogo wenu kwa wahaya 🤣😂 ujue kaenda kunyoa na kuvaa boxer nyingine katuma picha kidude kimepauka na kakomaa mipeke sijui ana shave na jembe 😂🤣
Honey 😭😭 usinisutee mchuchu unaniumiza kisaikolojia kipenzi changu
 
Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).

Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.

Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔.

Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo

Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake.

Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje.

Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi.

N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya

1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga?

2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume?

3. Ana kiumalaya?

4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune

Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu
Mtafune lakini usijenge kibanda ni kwa kutolea kutu tu basi.
 
Hv kwa akili yako kabisa unadhan anakuchekea ww au visenti senti vyako?

Acha ujinga kijana!

Af nasikia harufu ya Gono na UTI sugu hapa
 
Back
Top Bottom