Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Kama ulikuwa hujui, hakuna kundi la wanawake wanaoliwa na wengi.
Kwa lugha ya jikoni, hao ni MAMA POA wastaarabu.
 
Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).

Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.

Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka [emoji848].

Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo

Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake.

Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje.

Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi.

N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya

1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga?

2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume?

3. Ana kiumalaya?

4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune

Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu
[emoji16][emoji23][emoji16]
 
Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).

Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.

Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔.

Watu wenye umri wako huo hawawezi kuomba ushauri km huo! we unafikiri bado mtoto ndio maana akili zako zinakutuma utuandikie upuuzi humu
 
Acha kuwaza uzinzi
 
Back
Top Bottom