Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Tafuta demu dogo, ni kawaida ya vijana wenye nyege mshindo kudhani kila mdada anacheka mbele yake au alienza kumpa salama basi anamkubali.
Wengi wenu huishia kuumbuka mkipeleka tongozo lenu na kubwagwa kwa aibu huku ulijipa 100% kua hachomoi
 
Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo
Mwenzako anataka kufurahisha wateja wewe unahisi kakupenda
 
Back
Top Bottom