cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee Dogo jiheshimu na uwe na adabu, mxxxiiiiieeeew.Acha kucheka cheka basi dogo tupeane utamu please [emoji18][emoji4].
Ntumie location pm tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee Dogo jiheshimu na uwe na adabu, mxxxiiiiieeeew.Acha kucheka cheka basi dogo tupeane utamu please [emoji18][emoji4].
Ntumie location pm tafadhali
Anakuchekea ili uendelee kula hapo.Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).
Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.
Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔.
Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo
Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake.
Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje.
Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi.
N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya
1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga?
2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume?
3. Ana kiumalaya?
4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune
Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nina kakaangu wa hasara yy kazaliwa 1985 lakin mpaka sasa hana mtoto hata wa kusingizia na habari za kuowa hataki kuzisikia,kazi Kula Malaya wa mabaani
Ila siwezi kukuzidi wewe, ungekuwa mwanangu ningebadilishana kwa kikombe cha maziwa mtindiIdiot!
Huna hiyo miaka 29, nakujua kuliko ninavyojua sehemu zangu za siri, kwanza umepangiwa na wazazi wako kuanzia simu mpaka boksa ni vya baba yako hujua a wala b ndio maana unakubali kushikwa kalio na mgangaHabari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).
Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.
Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔.
Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo
Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake.
Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje.
Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi.
N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya
1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga?
2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume?
3. Ana kiumalaya?
4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune
Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu
kazoea kupigwa sio kupigaPiga MBUPU, penzi la mama ntilie ni tamu na utafaidi kijana.
So wewe SI UNIT ya maisha ya wanaume, what nonsense.29 nilikua na mke... na nilikua nimemaliza starehe zote...
29 wa sasa hv mna tatizo kubwa sana aisee
Ile forum yenu inaendeleaje dogo? Sema we binadamu mtakavitu una shida sana 🤣.Huna hiyo miaka 29, nakujua kuliko ninavyojua sehemu zangu za siri, kwanza umepangiwa na wazazi wako kuanzia simu mpaka boksa ni vya baba yako hujua a wala b ndio maana unakubali kushikwa kalio na mganga
nilishakwambiaga maisha hayapo hivyo we endelea kunako endelea serikali itazidisha kodi kwenye pampasi za watu wazima kwa % 200 ili watu kama nyie mvae mifuko ya lailoni
acha ujinga kwani ukisoma mada za kukuelimisha kunanini?
au kuandika hivi ndio kutakufanya upendwe na mademu aaa wapi maana meno yenyewe huna
mwisho unamiaka ambayo tukijumlisha na nyongeza ya 1 hufiki 21
forum ipi? binadamu mtakavitu yupuIle forum yenu inaendeleaje dogo? Sema we binadamu mtakavitu una shida sana 🤣.
Paragraph yote hiyo ya nini sasa?
Cc Gily Gru huyu mtoto wako vipi mkuu?
Acha kusumbua dada zako kitoto cha 2006 nenda ukanyonye na ukafundwe maana adabu huna kabisaaa
Kwani na account kapoteza 🤣😂 Andazi muache last born wa JF 😂🤣forum ipi? binadamu mtakavitu yupu
Upumbavu wako unakufanya uwehuke na huyo Gily Gru unamtakia nini? ana mke huyo hataki mke wmingine
tumia akili dogo linda linamuda tu ila baada ya hapo ukishavaa pampasi hakuna atakaye kujali last hatutoi mchango maana ni zako kuja kuomba pesa PM kisingizie unauza mk unabaati yule member uliemtumia picha zako za mk kapoteza simu
Carleenforum ipi? binadamu mtakavitu yupu