Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?
 
Mwache tu,yani mtuu aache kitimoto hivi hivi ?

Nawewe jaribu kidogo hakika hutojuta maishani
 
Yule mdudu ukimuonja na wewe utabobea,
cha kufanya,wewe mwachie kuku ale wadudu ,wewe utakutana nao wakati unakula nyama ya kuku.
 
Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Una dhambi sana[emoji28] ni machukizo kwa mthabato kunyonya denda, ni machukuzo kwenda chumvini au kunyonywa boloyangi, style ya sex inayokubaliwa na sisi wathabato ni misionary tu tena tusivue nguo zote na taa tuzime. Uthabato hoyee
 
Ha ha ha nawewe bila shaka ushalishwa zile steki steki bila kujua anakulisha kimahaba.......anywei kuna vitu ni ngumu kuacha hata jamaa yangu mkewe aliahidi kuacha Pombe,baada ya Ndoa kama miezi 6 akaanza kumuomba mumewe angalau moja per day 🙁........saizi fridge linapendeza kabisa na jamaa hakuwa anakunywa saizi wote walevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…