Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Msabato Kindakindaki usingefikia Hatua Yakuoa Mla Kitimoto ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakulisha denda wakati kabugia kitimotoHujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Kwani anakula nyama mbichi? Mbona hao tapeworm pia wanapatikana kwa ng'ombe na hamleti hayo mabango yenu?Subiri hadi Campylobacteriosis ianze kumtafuna ndio ataelewa, au subiri hadi Cysticercosis impige kidogo ataelewa madhara Ila akiendelea kua mbishi basi usiwe na wasiwasi maana Neurocysticercosis itampa somo
The tapeworm eggs hatch, but instead of developing into an adult tapeworm in the intestines, they burrow into the bloodstream as would normally occur in a pig. In a human, they often end up in the brain, forming cysts that cause a disease called neurocysticercosis. It can cause seizures, headaches and can lead to death.
Ushauri wangu: muache aendelee kula pork madhara atayaona baadae saaana
Wataalamu uchwara hao maana hao minyoo wanapatikana hata kwa ng'ombe ila wao kampeni yao ni against nyama pendwa Tu😄Ila nyie wataalam bana [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nyama ya nguruwe watu wanakulaga miaka na miaka ila tukiwauliuza tuonesheni walio athirika hakuna ....ila mnalishana mbuzi wakati mbuzi ukifululiza tu ndani ya mwezi madhara yake unayaona papo hapo...ila kwa sababu mmekaririshwa endeleeni kukalili
Nitakualike tule mdudu🤣Muache mtu ale anachopenda we kinakuhusu nin
ddaah huyu mdudu sura utata sana
Acha ujinga wewe. Huo ni upumbavu wa hali ya juu unaotaka kufanya.Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mim situmiiNitakualike tule mdudu🤣
Kama wewe huli, Baki mwenyewe usile, Usifosi na kulazimisha na mwenzako asile kwa kigezo cha Dini.Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Kama vipi achana nae tu, kama umeshindwa kuvumilia hiyo karaha.Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Najua mama nimetania nisameheMim situmii
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Upo sahihi, kuitoa imani ya mtu aliyelelewa nayo ni ngumu sana..Nilipata binti wa kiislam ila kabadili dini kwa maneno yake.Ni mkatoliki ndo sababu, mwache ale, sio msabato, alibadilika ili umuoe!
Haina shidaNajua mama nimetania nisamehe