Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Kwahio zinakiwa zimebaki kwenye meno mpka na we ujikute umekula?,siakila mwambie apige mswak bhana usimnyime uhuru sana mwenzio
 
Nina miaka 30 na kitu namtafuna huyu pig wala hana matatizo ila nikila nyama ya mbuzi mara tatu tu kwa wiki naumwa gaut
Basi Mimi ndio napenda Mbuzi balaa maana hana madhara makubwa sio PiG mnyama hatari kwa afya, Mbuzi napenda sana supu ya Kichwa mzee tamu balaa
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Kaka mimi ni msabato mwenzio.
Usifungane na wasio amini.
Ila ishatokea endelea kusali na maombi kumsaidia.
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Braza hata wewe ukionja mdudu hutokaa uache...kweni mdudu anashida gani? Acha kucomplicate maisha...acha wife apige mududu
 
Hii Post mbona niliiona Facebook?
 
Braza hata wewe ukionja mdudu hutokaa uache...kweni mdudu anashida gani? Acha kucomplicate maisha...acha wife apige mududu
daaaaa😂😂😂😂 kuna muda huwa natamani niache lakin nikisikia harufu ya lost basiiii😂😂😂😂😂
 
Ila nyie wataalam bana [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nyama ya nguruwe watu wanakulaga miaka na miaka ila tukiwauliuza tuonesheni walio athirika hakuna ....ila mnalishana mbuzi wakati mbuzi ukifululiza tu ndani ya mwezi madhara yake unayaona papo hapo...ila kwa sababu mmekaririshwa endeleeni kukalili
Nina Bibi anafuga na kula ni zaidi ya miaka 60 sasahivi 😀😀na yeye anakimbilia 93 na bado anaingia bandani mwenyewe
 
Back
Top Bottom