Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

Asante sana.
Nitazingatia ushauri wako mkuu.
 
Pole dear.atajenge weye bado uko hapo
 
Nenda serikali ya Mtaa
 
Achaaa roho mbayaa,kama unauwezo wasaidie....hakuna raha na baraka kama kusaidia wenye uhitaji?fanya hivi kama unakiuwezo wanunulie kisado cha nyanya,vitunguu...na tumafuta....afu wambie mtumie hivyo kila mwezi
Sawa, nitajitahidi kufanya hivo mkuu
 
Mimi ni Ke, nishawahi kuwakazia ila najikuta tu nawaonea huruma watoto.
Maana wanakwambia tangu jana usiku walivyokunywa uji na mihogo mpaka mchana huo hawajala
Kodi yako ikiisha hama hapo. Sioni ukiishia pazuri na huyo mama (if you know what I mean!). Zingatia sana hili usije ukaharibu maisha yako wakati uko bado binti mdogo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…