Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Bro Mshana uwapi tafadhali, nisaidieni kumtag apate notification🙏🙏
 
Si mlisema kwenye ndoa Hakuna Uhuru wala faragha, Mume ni mtumwa wa mke na Mke ni mtumwa wa mume.

Ila Mkuu inaonyesha unakamchepuko.. Hahaha
 
Si mlisema kwenye ndoa Hakuna Uhuru wala faragha, Mume ni mtumwa wa mke na Mke ni mtumwa wa mume.

Ila Mkuu inaonyesha unakamchepuko..Hahaha
Tatizo lake hajanitegea kwa upendo ni anajihami tu kwakuwa yeye ananicheat sana, anadhani ntalipiza
 
anakulinda zidi yahao vijana unao ongea nao Mana hawachelewi kufanya kweli muda wowote. anataka ajue siku utakayo anza mipangotu yakuharibu ili akupe makavu yako.
 
anakulinda zidi yahao vijana unao ongea nao Mana hawachelewi kufanya kweli muda wowote. anataka ajue siku utakayo anza mipangotu yakuharibu ili akupe makavu yako.
Kama ni hivo atasubiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…