Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Kwanza nikusahishe tu, Huo sio ushirikina bali ni mambo ya tamaduni zetu za afrika, Mfano Mkwawa alikuwa na wake 15 hivi, Alikuwa na mtambo wake kumgundua aliechepuka, Nenda makumbusho ya Kaelnga utapewa full story 🙂🙂

Huyo hana haja tena ya kushika simu yako, Teknolojia yake ya asili ina nguvu zaidi kujua mambo yako.

Ok, back to the topic, Huyo mme wako inaonekana nae wamemmegea kateknolojia ka kudukua ama kuhack mawasiliano yako kwa njia za asili kabisa, ni heri mtu adukue simu yako kwa teknolojia ya mzungu kuliko mtu akudukue mawasiliano yako kwa njia asili.

Haijalishi una elimu gani au cheo kipi, mwenzio kashakuzidi nguvu huyo, ukae kwa kutulia bila kumkwaza, endelea kuufaidi utimamu wako kihisia lasivyo anaweza kukuchapa limbwata usione wengine zaidi yake,

BE CAREFUL !!
Hiyo itakua mbaya zaidi
 
Kwahy jamaa kaona umeshusha Uzi.
Clairvoyant clairaudience Ni uchawi tu.
 
Unatumia Smartphone?

Unapokua na watu unaongea unawasha data?

Je huwa anaishika simu yako janja? (Smartphone)?

Nijibu halafu nikuambie ni uchawi wa aina gani huo
 
Unatumia Smartphone?

Unapokua na watu unaongea unawasha data?

Je huwa anaishika simu yako janja? (Smartphone)?

Nijibu halafu nikuambie ni uchawi wa aina gani huo
Ndio smartphone.Huwa Inakua offline, na simu yangu huwa hashiki. InaPattern
 
Ndio smartphone.Huwa Inakua offline, na simu yangu huwa hashiki. InaPattern
Basi sasa ukitaka kuwa salama, kwanza Restore simu yako, kisha badili password, usiweke patern weka password za maneno, character pamoja na namba. Akiendelea kujua unachoongea na watu akiwa mbali niite mbwa
 
Unataka privacy aunt? kwani kuna mambo mabaya unamteta mmeo? nadhani wewe ndo wa kusaidiwa. Anaekupenda ni lazima akulinde(kwa mjibu wa vitabu vitakatifu). Mwanaume amepewa mamlaka ya kulinda miliki yake.
Natamani anipende kwa kunionesha jinsi anavyonijali na sio kunionesha kuwa hanijali, hashiki simu yangu, ananiruhusu popote napotaka kwenda, hata nikienda haulizi nilipo. Hana wivu haata kidunchu. He's just careless like that. Kuna mtego wa upendo hapo au anataka tu kunichunguza
 
Personal privacy unayo mbona, yeye sio Mungu bali ni mwanadamu tu. Wengi mnatakaga freedom ya kuficha ouvu
Hata mimi sijaona baya ikiwa hana makandokando.

Kikubwa tu awe muwazi kwa mumewe, ila kama ameanza harakati za mapinduzi vita yake itakua mbaya coz yeye amejificha kwenye mchicha.

Awe muwazi ajilipie kumwambie mumewe hicho kitu kinamnyima amani.
 
Sio uchawi ni vipawa na kila mtu anavyo ila kuvi'cultivate ndo shughuli inapoanza asilimia 90 ya binadam tunaishi maisha ya hovyo ndo maana hivyo vipawa tunaita uchawi
Aaah weeh kwa haya niache tu
 
Back
Top Bottom