Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu. Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake. Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.

Don't mind my ID name.
ushirikina or no ushirikiano au technology, divorce huyo mwanaume haraka sana ,hakuna ndoa hapo, kama unataka kuzeeka au kufa kwa stress endelea kukaa naye
 
Okay hapo itakuwa ngumu wewe kuchepuka kwa boda maana atajua tu.

Nikupe kaujanja, kama unataka kuchepuka njoo pm yangu tuchati huku huku maana huku Jf hawezi kuona, halafu siku tukikutana Gesti ni mwendo wa kibubu bubu tu hatuongei, tukitaka kusema chochote tunachatia Jf.

Akija kugundua niite mbwa
 
Umeolewa na mume wako mpenzi anakupenda
Akikuaga..anajibadisha...anarudi kukaa na wewe na kushinda na wewe! Kila unapokwenda yupo ila humwoni..

Akiamua anaweza kuwa mbali na akakuset akawa anakuona kwenye tv ya ukuta wowote ya kiasili...

Njia pekee either umchane hupendi anachofanya ( ambacho ni hatari sana maana anaweza kukudhuru)
Au uende kwenye maombi...nenda kwa nabii musa pale temboni jitahidi ukae mbele uwahi...yatakayofuata utafrahi( mm sio mlokole na siendagi hapo)
 
Haka kaujumbe, lugha iliteleza kidogo hapo juu. Hapa kana ladha nzuri kidogo
Jiamini na uzidi kumpenda mmeo. Look, hisia zako mbaya zinakuondolea credits kwa mmeo. Just love your husband unquestionably and then, acha atafakari yeye mwenyewe mambo mengine. Wanaume tuna mambo mengi kwelikweli.

Huenda yupo busy anatafakari nini afanye kwa ajili ya mke wake. Mpende tu, mpende tena na tena. Speak to him softly dear. Onesha utii na adabu. Atanyooka tu. Stop wasting your time on the negative side. Mimi naamini mmeo anakupenda sana na ndio maana anakukumbusha usipotoke lakini pia anaweza kuwa muaminifu sana.
 
Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu. Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake. Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.

Don't mind my ID name.
Kwa hiyo hata hapa keshajua umeandika JF?

Kazi unayo.

Ongea nae muulize.. kama delila aliweza kwa Samson, nawe unaweza.
 
Sina nia hiyo
Kutaka kwako kuperekewa Moto na wahuni kutakupereka kubaya ...........tuliza mshono........kama ulizoea kukunwa kunwa hapa utaumia...............
 
Kwa hiyo hata hapa keshajua umeandika JF?

Kazi unayo.

Ongea nae muulize.. kama delila aliweza kwa Samson, nawe unaweza.
Nikimuuliza huwa anakana kwamba hafanyi lakini facial expression yake inakiri kabisa kuwa anafanya.
 
ACHIKA ukatafute uhuru waolewe waliotayari kuhandle tuvitu tudogo tudogo kama hutu
 
Tulia nae ufaidi na wewe mpe script za mazungumzo yake ya siku nzima shida iko wapi na hiyo privacy unayoitaka ili ufanye nini wewe hukujua ukiolewa unakuwa chini ya milki ya mwanaume?

Sasa yeye kujua script yako huoni kama mmeo anaweza vutia watalii kifupi umelalia mgodi au siyo nduguzangu?
 
Back
Top Bottom