Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,268
- 3,429
Ndio, hamna ushauri zaidi ya huo, katafute uhuru mamaNdo solution hii? M okay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, hamna ushauri zaidi ya huo, katafute uhuru mamaNdo solution hii? M okay
Kwaio ata ulivoandika hpa kashajua?Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu. Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake. Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Kwani uliingia kwenye ndoa ukiwa bado hujamaliza kurukaruka?.Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu. Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake. Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Sina uwezo Huo wa kumwambia anayofanyaTulia nae ufaidi na wewe mpe script za mazungumzo yake ya siku nzima shida iko wapi na hiyo privacy unayoitaka ili ufanye nini wewe hukujua ukiolewa unakuwa chini ya milki ya mwanaume? Sasa yeye kujua script yako huoni kama mmeo anaweza vutia watalii kifupi umelalia mgodi au siyo nduguzangu?
Ww mponze mwenzako....ashakwambia anampenda hadi hajielewi.ushirikina or no ushirikiano au technology, divorce huyo mwanaume haraka sana ,hakuna ndoa hapo, kama unataka kuzeeka au kufa kwa stress endelea kukaa naye
Wenyewe wanajiita light keepers wanasemaNgumu kumesa dingilai
Akianza kukwambia mambo yako mwambie shindwaa pepoSalaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu. Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake. Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Mmmh!!Ukishaolewa automatically umeuza uhuru na usiri wako. Ndio maana utalala uchi ili akikutaka airline wala kusumbuka kupunguza nguo🤣
Yani lolote atalokwambia mwambie shindwaa pepoMpaka limkwaze saana ndo analisema. Mengine anakausha
Anakupenda sana, na siku ukimwambia umemchoka atafurahi na kukutakia kila la kheir. Nadhani Ushamjua mnafki hapoMumeo hakuamimi ila anakupenda sana, na siku ukimwambia umemchoka atafurahi na kukutakia kila la kheir. Kuna tatizo kubwa ndani yako. NADHANI KATI YA WEWE NA MUMEO MMOJAWAPO NI MNAFIKI SANA.
Hiyo naipataje mzee?Wenyewe wanajiita light keepers wanasema
Extra sesnsory perception bila kuwa mutu ya magic Ni bure.
Clairvoyant ( Witch Eye ) wanatuzuga kuwa Ni Sayansi ila hakuna kitu ni nyanga TU.
Sasa hii hoja yako sikashajua tayari unamsema Jamii forum?Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu. Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake. Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Hakuna cha ulozi wala nini uza simu badili simu utaona...anakutisha bure