Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Pole sana, ni kweli hata kama ni mume wako bado kuna personal privacy unahitaji. Haya mambo yapo, miaka ya nyuma niliwahi kukutana na mtu ambaye alikuwa kama ana pepo ndani yake na ukienda popote pale na kumjadili anafahamu kila kitu ulichomwongelea. Suluhisho la hili ni kuombewa kwa mtumishi wa Mungu ambaye yupo vizuri. Nadhani kuna kitu anatumia kukuspy na mostly ni jini/pepo.
Naamini.
 
Hiyo naipataje mzee?
Mkuu achana na haya Mambo yatakutesa ..... Mana utajikuta mkiwa kwa kuwa utakuwa uko tofauti na watu iwe kifikra au la na kuwa mbele ya muda.... Usitamani Hadi ujue gharama ya kuwa mtu huyo📌
#Chagua upande Giza au Nuru utakutana navyo huko ila jiandae kisawasawa.
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
We ni wa dini gani? Ningekwambia uende ukasali kama ni wa kwetu kwenye ukristo.

Sijajua kwa waislam wana utaratibu gani ila kwa sisi, unaenda kufanyiwa deliverance, unatoa na sadaka yako kama ni fungu la kumi au ya maombi ya kujilinda. Kabla mambo hayajazidi
 
Mkristo
We ni wa dini gani? Ningekwambia uende ukasali kama ni wa kwetu kwenye ukristo.

Sijajua kwa waislam wana utaratibu gani ila kwa sisi, unaenda kufanyiwa deliverance, unatoa na sadaka yako ya kujilinda. Kabla mambo hayajazidi
 
Kuna siku nilitoka kwenda mahali nilikuwa na mkaka jirani i swear sina mahusiano nae. Tulikuwa tunaongea tu story za kawaida. Sikuamini alipokuja kurudia some words ambazo niliongea na yule kaka
Mimi siamini kwenye ulozi..uza simu anza upya
 
We Dada inaonekana ni Malaya wa kimya kimya kama walivyo wanawake wengine waliolewa.Hadi mumeo kakuwekea spying app maana yake hakuamini hata kidogo,na katika Uzi wako huu inaonesha mumeo anafatilia nyendo zako na wewe hutaki akufatilie why-kama sio umalaya ni nini?
 
We Dada inaonekana ni Malaya wa kimya kimya kama walivyo wanawake wengine waliolewa.Hadi mumeo kakuwekea spying app maana yake hakuamini hata kidogo,na katika Uzi wako huu inaonesha mumeo anafatilia nyendo zako na wewe hutaki akufatilie why-kama sio umalaya ni nini?
Duh!! Anyway mimi sio malaya.
 
Tumekujua kupitia huu uzi-Mumeo ameweka hizo program kwenye simu take maana take hakuamini kwa nini unataka sisi tukuamini kama mumeo hakuamini.
Acha umalaya,kama ndio imekushinda rudi kwenu.
Punguza jazba sijaolewa na kakaako. Kama huna utatuzi si ulale zako tu, sio unahukumu mtu ambae humjui.
 
Back
Top Bottom