Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Mpige chini huyo mlozi uje nikuoe Mimi sina mambo za kishirikina.
 
Naamini.
 
Hiyo naipataje mzee?
Mkuu achana na haya Mambo yatakutesa ..... Mana utajikuta mkiwa kwa kuwa utakuwa uko tofauti na watu iwe kifikra au la na kuwa mbele ya muda.... Usitamani Hadi ujue gharama ya kuwa mtu huyo📌
#Chagua upande Giza au Nuru utakutana navyo huko ila jiandae kisawasawa.
 
We ni wa dini gani? Ningekwambia uende ukasali kama ni wa kwetu kwenye ukristo.

Sijajua kwa waislam wana utaratibu gani ila kwa sisi, unaenda kufanyiwa deliverance, unatoa na sadaka yako kama ni fungu la kumi au ya maombi ya kujilinda. Kabla mambo hayajazidi
 
Mkristo
We ni wa dini gani? Ningekwambia uende ukasali kama ni wa kwetu kwenye ukristo.

Sijajua kwa waislam wana utaratibu gani ila kwa sisi, unaenda kufanyiwa deliverance, unatoa na sadaka yako ya kujilinda. Kabla mambo hayajazidi
 
Kuna siku nilitoka kwenda mahali nilikuwa na mkaka jirani i swear sina mahusiano nae. Tulikuwa tunaongea tu story za kawaida. Sikuamini alipokuja kurudia some words ambazo niliongea na yule kaka
Mimi siamini kwenye ulozi..uza simu anza upya
 
We Dada inaonekana ni Malaya wa kimya kimya kama walivyo wanawake wengine waliolewa.Hadi mumeo kakuwekea spying app maana yake hakuamini hata kidogo,na katika Uzi wako huu inaonesha mumeo anafatilia nyendo zako na wewe hutaki akufatilie why-kama sio umalaya ni nini?
 
Duh!! Anyway mimi sio malaya.
 
Tumekujua kupitia huu uzi-Mumeo ameweka hizo program kwenye simu take maana take hakuamini kwa nini unataka sisi tukuamini kama mumeo hakuamini.
Acha umalaya,kama ndio imekushinda rudi kwenu.
Punguza jazba sijaolewa na kakaako. Kama huna utatuzi si ulale zako tu, sio unahukumu mtu ambae humjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…