Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Huu ndio mwanaume sasa lzm udhibitiwe
 
Huyu mtu huezi hata kumuandalia kaSurprise romantically. mana hatua zote atakua anaziona, sasa ndonini hivi
Pole sana, ila ulishasema familia yake wana mambo ya kiganga, na wewe ulidhani yeye kastaarabika hana hizo mambo, ila uhalisia unaonyesha nae ni mmoja wao tu.

Ili kuhakiki, jaribu kuformat simu yako uanze upya, ukiona bado kuna mambo anajua..then pigia mstari wasiwasi wako juu ya ulozi wa familia yao.
 
Jibu rahisi tu ..unatakiwa kufanyiwa maombi uokoke kiukweli ukweli sio ku beep...baadaye utaona hakusomi tena kwenye rada zake
 
Huo sio mtego ila umefungiwa kifaa kinaitwa tracking device cha kienyeji from Tanga
Check na kaka Mshana Jr
 
Kwa hio na hii habari kashajua kuwa umeandika?.
 
Kama mkaa nyumba yenu yaani mliojenga nyinyi basi namna ya Kuunlock hiyo itakugharimu sana tena sana tu..
 
Na hiki ulichoandika huku atajua tu kwamba umeomba ushauri, hamna jinsi kaa naye muongee, ikishindikana wahusishe wazee wenu na washauri hususan wa kidini maana huwa hapaharibiki jambo popote wahusikapo.
 
Uwe huruku cheat
 
Ha ha haaa,. Hapo si nakuwa mtu na nusu? Gharama yake ni kama ipi kwa mfano?
 
Huenda wakati unaandika amekuona pia
 
Na hiki ulichoandika huku atajua tu kwamba umeomba ushauri, hamna jinsi kaa naye muongee, ikishindikana wahusishe wazee wenu na washauri hususan wa kidini maana huwa hapaharibiki jambo popote wahusikapo.
As ante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…