Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Pole sana, ila ulishasema familia yake wana mambo ya kiganga, na wewe ulidhani yeye kastaarabika hana hizo mambo, ila uhalisia unaonyesha nae ni mmoja wao tu.

Ili kuhakiki, jaribu kuformat simu yako uanze upya, ukiona bado kuna mambo anajua..then pigia mstari wasiwasi wako juu ya ulozi wa familia yao.
Asante nitafanya hivyo.
 
Natamani anipende kwa kunionesha jinsi anavyonijali na sio kunionesha kuwa hanijali, hashiki simu yangu, ananiruhusu popote napotaka kwenda, hata nikienda haulizi nilipo. Hana wivu haata kidunchu. He's just careless like that. Kuna mtego wa upendo hapo au anataka tu kunichunguza
Sijaelewa
 
Ndio hata nikiingia chooni ajue!! Dah
Sasa wew ukiongea na vijana hutaki mumeo ajue[emoji1787][emoji1787] Siku mtunuku yule kijana hatajuaa nakwambiaa...!! Anyway kama ni mumeo sioni shida maana nyie ni mwili mmoja shida wew unataka privacy ya kufanyaa uhuniii.
 
Sijaelewa
Ananiona kwa kila jambo hajawahi nifuma nikicheat au kuwa na mipango hiyo. Ko tego lake limemfanya ajiamini kupitiliza, awe hanijali, hata tu ule wivu na mkewe hana, yani simtishi kwa lolote kwakuwa ananiona kiila hatua anajua huyu n waangu tu
 
Hiz ndoa tunakurupuka kweli...MTU aliyesalama ni yule anaishi pekeyake.Ukitaka ndoa kubaliana na yote
 
Sasa wew ukiongea na vijana hutaki mumeo ajue[emoji1787][emoji1787] Siku mtunuku yule kijana hatajuaa nakwambiaa...!! Anyway kama ni mumeo sioni shida maana nyie ni mwili mmoja shida wew unataka privacy ya kufanyaa uhuniii
He's being careless kwajili ya hilo tego lake. Na kwanini anijue kiila kitu. Wee jaribu kuvaa viatu vyangu
 
Back
Top Bottom