Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Sina nia hiyo
Kwan kuna mwanamke huwa anakubalig hilo sasa? We utashangaa tu umeanza kubadilika tabia mara husikii hamu ya kuwa nae kitandani kumbe tayari kuna muhun anakusukutua kinena kwa siri, sasa hapo kwa Ngwizikulu jilala haiwezekani. Nakusihi achana na mawazo ya privacy, wewe ni mke wa mtu mume ana uhuru wako by 109% percent
 
Duh, hatari sana.
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Nipe namba yake, anigawie hio dawa mi ndio nataka hivyo.
 
Ndio smartphone.Huwa Inakua offline, na simu yangu huwa hashiki. InaPattern
Ina pattern kwa maana hazijui!?
Sasa mnaishije wanandoa mnawekeana mipaka namna hiyo???

Kama Ndoa imekushinda Bibie omba talaka usitafute visingizio, uambiwe nenda kwa mganga ajue aseme umeenda kumroga au uende kuombewa ajue aseme una mashetani, huoni kama wataka kumvuruga mwenzio!???

Kwa Vijana wote: kama unajiona hujamaliza ujana wako achana na mambo ya ndoa maliza kwanza huo uhuru wako ndio ukafunge hizo pingu za maisha,
Huwezi kutafuta personal privacy kwenye ndoa wakati mnajinasibu nyie ni mwili mmoja,

Ndoa sio harusi, Ndoa ni Maisha kamili ya watu wazima wawili walioungana kwa dhati kusukuma gurudumu la Maisha pamoja, Ndoa ni Kapu lililobeba, Upendo, Heshima, Uaminifu, Busara, Uvumilivu, Kutunziana Siri, Hofu ya Mungu, n.k. na ujue hivyo vyote vinategemeana, kikikosekana hata kimoja basi kapu litapwaya.
 
Huyu mtu huezi hata kumuandalia kaSurprise romantically. mana hatua zote atakua anaziona, sasa ndonini hivi
Unafikiri anakupenda au kajipatia mtumwa wake? Pole! Uko mikononi mwa mbinafsi, asiyejali hisia zako.
 
Ina pattern kwa maana hazijui!?
Sasa mnaishije wanandoa mnawekeana mipaka namna hiyo???

Kama Ndoa imekushinda Bibie omba talaka usitafute visingizio, uambiwe nenda kwa mganga ajue aseme umeenda kumroga au uende kuombewa ajue aseme una mashetani, huoni kama wataka kumvuruga mwenzio!???

Kwa Vijana wote: kama unajiona hujamaliza ujana wako achana na mambo ya ndoa maliza kwanza huo uhuru wako ndio ukafunge hizo pingu za maisha,
Huwezi kutafuta personal privacy kwenye ndoa wakati mnajinasibu nyie ni mwili mmoja,

Ndoa sio harusi, Ndoa ni Maisha kamili ya watu wazima wawili walioungana kwa dhati kusukuma gurudumu la Maisha pamoja, Ndoa ni Kapu lililobeba, Upendo, Heshima, Uaminifu, Busara, Uvumilivu, Kutunziana Siri, Hofu ya Mungu, n.k. na ujue hivyo vyote vinategemeana, kikikosekana hata kimoja basi kapu litapwaya.
Hakukuwa na haja ya kuacha simu bila security ikiwa yee hana time na simu yangu, ila akihitaji huwa nampatia sina la kumficha. Kama kuhusu kucheat ni yeye ndo huwa namfuma kupitia simu yake sio chini ya mara moja anacheat. Lakini bado sijalipiza kwa lolote na sitofanya hivyo. Lakini sasa Kinachonikwaza ni kwamba nakuwa sina jipya kwake ananijua nje ndani. Inamfanya anidharau, haoneshi tena upendo, hanijali. Basi angeniwekea tu lile la kunasia sio hili la kuniona siku yangu nzima
 
Ungetaka Privacy Usingeolewa! Ungebaki Msimbe
Mfano mdogo kuna kitu siri za familia sio ya wewe na mumeo wee na ndugu na wazazi wako. Kila unachozungumza na familia yako na yeye akijue? Ni sawa hiyo!!?
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Kwa mtu wa aina hyo huwez kuwa na privacy, hao unakuta yy automatically anajua knachoendlea kwako ,ww uktaka usimkwaze fanya usahihi ktk kila jambo...hao wanakuaga na mizimu yao
 
Back
Top Bottom