Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna bhn hapa sdhan km atagundua ila mawazo yako kchwan ndo yatamfanya agundueNi kweli
Ishi nae vzur, wanakuaga na msaada watu km hapo pale jambo baya limepangwa juu yako au ktu kbaya kinataka kutokea kwakoAsante
Ahsante kwa ushauri mzuri ila hapo kwenye kumaliza ujana ulikuwa unamaanisha kwa vijana wa kiume ama, maana wakike mpaka anaumaliza ujana atakuwa na rambo au pango, hata joto la mwili litakuwa limeisha sa na ni aoe mtu wa baridi kama sanamu. Huoni hicho ndo chanzo cha kuchitiwa na kutelekezwa kwa mabinti wa kileo.Ina pattern kwa maana hazijui!?
Sasa mnaishije wanandoa mnawekeana mipaka namna hiyo???
Kama Ndoa imekushinda Bibie omba talaka usitafute visingizio, uambiwe nenda kwa mganga ajue aseme umeenda kumroga au uende kuombewa ajue aseme una mashetani, huoni kama wataka kumvuruga mwenzio!???
Kwa Vijana wote: kama unajiona hujamaliza ujana wako achana na mambo ya ndoa maliza kwanza huo uhuru wako ndio ukafunge hizo pingu za maisha,
Huwezi kutafuta personal privacy kwenye ndoa wakati mnajinasibu nyie ni mwili mmoja,
Ndoa sio harusi, Ndoa ni Maisha kamili ya watu wazima wawili walioungana kwa dhati kusukuma gurudumu la Maisha pamoja, Ndoa ni Kapu lililobeba, Upendo, Heshima, Uaminifu, Busara, Uvumilivu, Kutunziana Siri, Hofu ya Mungu, n.k. na ujue hivyo vyote vinategemeana, kikikosekana hata kimoja basi kapu litapwaya.
Kila la kheri kutafuta bikraAhsante kwa ushauri mzuri ila hapo kwenye kumaliza ujana ulikuwa unamaanisha kwa vijana wa kiume ama, maana wakike mpaka anaumaliza ujana atakuwa na rambo au pango, hata joto la mwili litakuwa limeisha sa na ni aoe mtu wa baridi kama sanamu. Huoni hicho ndo chanzo cha kuchitiwa na kutelekezwa kwa mabinti wa kileo.
Nb. Sioi labda awe na bikra
Nshampata ila sioi tu 😂 kuna ndoa siku hiziKila la kheri kutafuta bikra
Akamchore tattoo kwenye begaUna uhakika ni mchawi?
Dawa ya wachawi ipo kwa nabii mkuu jeo dev wasiliana naye kutengua uchawi wa mumeo
Uliolewa na waganga[emoji3]Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.
Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.
Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Ipo kuna jamaa alikutana na wakenya fulani walokua wananunua rupee.Si useme kuwa ka hack simu yako? Maana hakuna jinsi anavyoweza kujua umeongea nini au umetuma sms gani kama hajadukua simu yako.
Hakuna dawa ya kiganga yenye uwezo huo unless kama unao ongea nao ndo wanampa umbea
Ni mdwanzi Sana Ni ile type ya wanawake wanaohita kupigwa risasi za Kisaidi tuWe ushasema mume wako, sasa privacy gani unayoitaka toka kwake
Ahaa unataka binti wa watu arogwe achore tatoo ya Nabii kwenye bega sio?Dawa ya wachawi ipo kwa nabii mkuu jeo dev wasiliana naye kutengua uchawi wa mumeo
Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.
Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.
Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Which privacy kama yote ni ya heri.Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy
Na pia anamtakia memaUnataka usaidiwe nini ndugu?Huyo ni "malaika" milinzi wako.Anakusaidia usiwe mpotofu.
Una uhakika ni mchawi?
Dawa ya wachawi ipo kwa nabii mkuu jeo dev wasiliana naye kutengua uchawi wa mumeo
Kila siku oga maji ya chumvi..Tumepanga