Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Ya kwenye simu na nje ya simu huwa anajua. Kwani Inawezekana kudukua simu ya mtu bila kuishika?
Cha kwanza kabisa inawezekana ni simu yako ndio imedukuliwa, muda wote maiki inanasa sauti inayotumwa kwa mhusika, kama ni hivi jaribu kuformat upya simu yako kila kitu endapo udukuzi ni wa kawaida, kwa uhakika zaidi ili kukabiliana na udukuzi sugu ambao hautolewi hata kwa kufomati simu nakushauri nunua simu mpya, miaka ya hapo nyuma nilishuhudia jamaa flani anapelekewa simu mpya zinazotolewa kwa kivuli cha zawadi kwa wake wa wahusika zinadukuliwa mapema kabla ya kuzawadiwa

kama ni hicho unachodhani basi nikusahishe tu, Huo sio ushirikina bali ni mambo ya tamaduni zetu za afrika, Mfano Mkwawa alikuwa na wake 15 hivi, Alikuwa na mtambo wake kumgundua aliechepuka, Nenda makumbusho ya Kaelnga utapewa full story 🙂🙂

Ok, back to the topic, Huyo mme wako inaonekana nae wamemmegea kateknolojia ka kudukua ama kuhack mawasiliano yako kwa njia za asili kabisa, ni heri mtu adukue simu yako kwa teknolojia ya mzungu kuliko mtu akudukue mawasiliano yako kwa njia asili, hata kufeki hautaweza.

Haijalishi una elimu gani au cheo kipi, mwenzio kashakuzidi nguvu huyo, ukae kwa kutulia bila kumkwaza, endelea kuufaidi utimamu wako kihisia lasivyo anaweza kukuchapa limbwata usione wengine zaidi yake,

Labda cha kukusaidia tu utupe kabila lake, kuna makabila mengine mbinu zao zinajulikana na zinaweza kuwa unlocked, Hivyo ingependeza uelezee katokea wapi.
 
Out of topic "haya matamthilia yanaharibu sana jamii zetu hii "privacy" inamaanisha nini sasa yani kipi haswa unataka kumficha mwanandoa mwenzako na ni kwa sababu zipi...kiujumla itakuwa sio kwa nia njema achana na maigizo ya "privacy" hivi ulishawahi kusikia wazazi wako au babu na bibi yako wakiongelea au kuhitaji hicho kitu *privacy huku kuigaiga uzungu na umagharibi kunawaharibia sana mahusiano wanandoa wengi,tuige mazuri na yenye faida tu mengine hata wao hawayafanyi wanapokuwa kwenye uhalisia mengi unayoyaona huko kwenye tamthilia ni maigizo *JIONGEZE
 
Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy

Sasa wewe umoelewa unataka privacy gani tena

Nakedness is the biggest privacy sasa kama hiyo hauna kwake unataka privacy gani tena
 
Sasa wewe umoelewa unataka privacy gani tena

Nakedness is the biggest privacy sasa kama hiyo hauna kwake unataka privacy gani tena
Kama kwako ni sawa its okay.
 
Kama ni maongezi ya simu pekee ndiyo huwa anajua basi atakuwa amekuwekea spying app kwenye simu yako.

Kama hata ukiongea na bodaboda mubashara na yeye hayupo halafu anajua basi hapo umeuvaa mkenge. Labda tumuite Mshana Jr aje ajaribu kukusaidia...

NB: Huyo jamaa kabila gani?
Kujitafutia presha za rejareja tu!!
 
Kwa hiyo hata ulicho andika hapa tayali amejua 🤔🤔🤔 yuko wapi huyo anipe hiyo dawa na mimi 🚶🚶🚶🚶
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Ninachokiona hapa wewe ndio mshirikina
 
Marafiki zako huwa wanamwambia..chunguza huuo unaeongea nae...zero in kufatilia Nan huwa ukiongea nae exact anakuja kukwambia...jaribu kuongea na watu watano na uongee nao issue tofauti..halafu angalia akija kusema Kama atasema story za wote watano....kikulacho
 
Back
Top Bottom