Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Jana amekwambia juu ya kuleta mada hi Hulu jf!?
 
Marafiki zako huwa wanamwambia..chunguza huuo unaeongea nae...zero in kufatilia Nan huwa ukiongea nae exact anakuja kukwambia...jaribu kuongea na watu watano na uongee nao issue tofauti..halafu angalia akija kusema Kama atasema story za wote watano....kikulacho
Hata nikiongea na strangers
 
Sahihi Kabisa. Kama mnapendana na mnaaminiana kitu gani kingine ambacho anahisi mume hapswi kujua kama sio mambo ya kishenz
Ukimuamini mtu unaweza kumuekea mitego ya kishenz kama hiyo!?
 
Na ukichepuka inanasa mke wangu nakuangalia tu unavyoomba udhauri kwa wajinga wenzako huku jf
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Basi kama kaweka mtego na umefanikiwa.. hiyo sayansi alotumia hata kama ni ushirikina na haukudhuru ni vyema akaufanyia promo auuze hata ulaya.. tumechelewa sana hizi ndo teknolojia zetu[emoji1787]
 
Back
Top Bottom