Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

Huu uzi utaanza kuchangamka sasa hivi, ngoja nikae na ๐Ÿฟ, nisome comments, lol
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Thanks God baba yangu hakua kataa ndoa la sivyo nisingekuwa na sehemu ninayo ita nyumbani, ninayokimbilia kupumzika kipindi cha rikizo.
 
panga chumba vingunguti cha muda, tia sound gen z mwenye njaa mmoja tia mimba
hudumia subiri ajifungue, kata huduma chap atakuja kukutupia mtoto geto
chukua mtoto wa bure
 
Back
Top Bottom