Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

Au we ni papai kama sio papai, tafuta demu mkali mkali hudumia jifanye fala toa pesa piga mashine kavukavu baada ya mwaka atakuwa na mtoto wako
Nipo anti social mkuu circle yangu ni ndogo sana sipo sehemu za wazi
 
Watoto mtaani wapo wengi, chukua tani utakazo ila sio hilo unalotaka kufanya ni kuleta mifarakano tu isiyoisha.
 

OLEWA HATA KWA NUSU SAA UTAPEWA MIMBA BASI. UNAKUJA UNAZAA. MI SHAWATIA MIMBA SANA KATAA NDOA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ