Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

basi ingia tagged wako tele huko, daka mmoja kwa bei flani
aje geto la muda, piga kavu tia mimba
Anatia mimba kwa gharama ya kupata gono, kaswende na ukimwi, harafu baada ya miezi miwili demu anaitoa hiyo mimba. Jamaa anabaki na ukimwi. Ufala huu
 
Kumbe umeshakuwa mkubwa mkuu!
Kama huna mpango wa kuishi na mtoto wako ni bora usimtafute tu. Binafsi naona ni mbaya sana kuzaa hovyo ili mradi tu uitwe baba.
 
Ni kwamba hujui namna mwanaume anampa mwanamke mimba? Au huna mwanamke aliyetayari kutiwa mimba na wewe?
 
Kumbe umeshakuwa mkubwa mkuu!
Kama huna mpango wa kuishi na mtoto wako ni bora usimtafute tu. Binafsi naona ni mbaya sana kuzaa hovyo ili mradi tu uitwe baba.
Nina mpango wa kuishi na mtoto hiyo ndo first option kabisa. Nataka nimlee mwenyewe lakini
 
gharama za nn zote hizo,, apate mkokoteni mwenzake,,, wakokotane kuanzia bar, clab n.k
panga chumba vingunguti cha muda, tia sound gen z mwenye njaa mmoja tia mimba
hudumia subiri ajifungue, kata huduma chap atakuja kukutupia mtoto geto
chukua mtoto wa bure
 
Adopt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…