Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

Nina mpango wa kuishi na mtoto hiyo ndo first option kabisa. Nataka nimlee mwenyewe lakini
Hivi unadhani mwanaume kulea mtoto mdogo peke yako bila mama wa mtotp ni rahisi? Hivi unadhani kuna mtoto anapenda kukua bila malezi ya mama yake? Bora usimlete tu huyo mtoto Duniani. Tafuta mtoto ambaye amekua kua, hana wazazi, kisha mlee kama mwanao.
Hakikisha unamlea vizuri asiwe kataa ndoa ili akikua aoe awe na familia, ili ukizeeka uwe na wajukuu wa kukuita babu, uwe na pa kukimbilia.
 
Zaa.
Maswali mengine ya kipuuzi mno. Kwamba huwaoni wa kuwazalisha au umahitaji ushauri upi? Kupata mtoto haihusiani na ndoa kabisa labda kama umahitaji wa kukuzalisha wewe!
 
Fanya study yako vizuri mkuu....Utapata Ninae wa kunizika 🙏🙏🙏





NB: USIOE
 
Nina mpango wa kuishi na mtoto hiyo ndo first option kabisa. Nataka nimlee mwenyewe lakini
Ko unataka tu mwanamke umtie mimba ila hautak mtoto aliezaliwa tayar?... Uyo mwanamke wa kuzaa na kukuachia ulee mtoto akili zake zitakua kama zako😂😂 ukimpata undeni team mlee mtoto wenu.. 🤗
 
Aiseeh, maisha hayana kanuni
Kuna watu walishaniambia niwape kumbukumbu ya mtoto at their own cost, huo mtego nikaukataa

Huku wewe unatafuta mtoto hapati.
Pole sana
 
Utapata tu asotaka muoane mbona wapo kibao!

Af unafkr wanawake hawazai kwa kuwa hawataki kuzaa, wanaangalia wa kuzaa nae!
Umejiweka hiyo ''WA KUZAA NAE '' mode ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…