Nifanyeje nizoeane na majirani?

Nifanyeje nizoeane na majirani?

Majirani huwa wanakuja automatic , nani aliyetangulia kuja hapo mtaani? Kama wamekukuta wakati wanaaza ujenzi hamjafahamiana? Kama mkristu shiriki misa za ujirani za kila jumamosi au j2 kama ni muislamu shiriki ibada za msikitini za mitaani hapo mtafahamiana na majirani..
Na mara moja moja apige kinywaji kigrosari cha jirani hapo.
 
Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kirudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
Bila shaka wewe ni mtu wa asili ya Pwani.
 
Anza kusali Jumuiya utawapata majirani wengi sana
Wewe sijui ni wangapi.. Unatoa ushauri huu wa jumuiya.. Upo sahihi kabisa kabisa.. Jumuiya ni kitu muhimu sana sana.. Nimepitia situation za kuhamia mitaa ya vigogo aisee kabla sijajiunga jumuiya nilijuta kuishi huko. Ila baada ya kujiunga mimi ndie m.kiti wao.. Haijalishi mavyeo yao Serikalini au wapi? Maisha yamekuwa mazuri yenye amani na mshikamano mkubwa.

Walioanzisha jumuiya aisee. Mungu asiwasahau katika ufalme wake.
 
Haaaaa Haaaaa 😂
 
Utashangaa jirani na mbali zaidi wote wanakufahamu wanakuangalia tu. Nikupe incident tatu zimetokea nikajua kumbe watu wanakuchora tu
1.niliharibikiwa na gari mbali kidogo na home nikachukua bajaj kurudi home kutafuta alternative, yule wa bajaj akaanza kukata mitaa nikamuuliza wewe unajua unapoenda? akasema blaza si unakaa pale pako hivi na hivi....
Kitaani nilicho NOTE watu wenye unafuu wa maisha lets say labda ana uchawi wa kijapani/mzungu,"Mtama kwa Watoto aka Mpunga" au utajiri wa kibongo nyumba inayoeleweka basi vijana wanamfahamu sana.
 
Hapo ndio huwa nawapendaga walevi ,aisee muda mchache sana hapo mtaan kama kuna kagrocery tayari unapata washkaji unapata majiran
 
Hapo ndio huwa nawapendaga walevi ,aisee muda mchache sana hapo mtaan kama kuna kagrocery tayari unapata washkaji unapata majiran

Walevi ni fasta kujuana ukienda siku moja ukishusha kreti za kutosha fasta unapata majirani.

Au kama unatoa huduma za maji basi kila j1 au j2 unawapa offer ya maji bure.
 
Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kirudi jioni wakiwa ndani ya magari yao.

Sasa leo nimekaa nikatafakari, nikagundua kuwa zaidi ya majirani niliopakana nao upande wa kushoto na kulia, hakuna jirani mwingine ambaye walau hata namjua kwa jina. Hakuna mawasiliano ya aina yoyote kati yangu na majirani zangu, hakuna tukio lolote linalotukutanisha, na hata ikitokea mtu akapata tatizo, sidhani kama kuna mtu atajitokeza kusaidia.

Mimi naona kama hii hali sio nzuri ila nashindwa kujua nifanyeje ili kujenga ujirani mwema, hasa kwa hawa majirani wa mbali kidogo nyumba ya tatu ya nne huko?
Ulipohamia ilipaswa kwenda kugonga hodi na kujitambulisha kwamba wewe ni Jirani. Sasa ushawaletea madharau
 
Panga matukio ya kujumuika pamoja kisha uwaalike majirani zako, kitu kama birthday yako au watu wa karibu, wakaribishe kwako muangalie pamoja luninga ili mzoeane, hayo ndio maisha ya wenzetu kule mbele.
 
Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kirudi jioni wakiwa ndani ya magari yao.

Sasa leo nimekaa nikatafakari, nikagundua kuwa zaidi ya majirani niliopakana nao upande wa kushoto na kulia, hakuna jirani mwingine ambaye walau hata namjua kwa jina. Hakuna mawasiliano ya aina yoyote kati yangu na majirani zangu, hakuna tukio lolote linalotukutanisha, na hata ikitokea mtu akapata tatizo, sidhani kama kuna mtu atajitokeza kusaidia.

Mimi naona kama hii hali sio nzuri ila nashindwa kujua nifanyeje ili kujenga ujirani mwema, hasa kwa hawa majirani wa mbali kidogo nyumba ya tatu ya nne huko?
Unden group la whatsapp
 
Panga matukio ya kujumuika pamoja kisha uwaalike majirani zako, kitu kama birthday yako au watu wa karibu, wakaribishe kwako muangalie pamoja luninga ili mzoeane, hayo ndio maisha ya wenzetu kule mbele.
Wengine hawajagi 😅😅😅 cha muhimu aseme kuna bia za bure aone 😅
 
Huyu jirani yangu upande wa kushoto yeye hajaweka fensi na yupo muda kidogo hapa mtaani, kama miaka minne mitano ivi. Juzijuzi nilienda kumsalimia maana bado ni kijana kijana tukawa tunabadilishana mawazo. Aisee nilishangaa jinsi anavyofahamiana na kila mtu, watu wakipita (kuna barabara kwa mbele, kama mita 20 - 30 kutoka ilipo nyumba) lakini wanasalimia, wanapunga mikono nk. Wenye magari wanapiga honi, wanashusha vioo wanapunga mikono... kwakweli nilisikia wivu sana.
Sasa yeye si kajimix, ila hili tatizo hata mie ninalo siwezagi kuzoeana na watu kizembe wa mtaani! Sipendagi tu yale mazoea ya kujuana juana sana
 
Don't pretend like you're alone in this world, you're not alone at all. Na kuna maana yake ya wewe kuumbwa miongoni mwa wanadamu wenzio.
Compatibility!!!
Binaadamu tumeumbwa tuishi kijamii na nature imewekwa tukae hivo. Hakuna mtu asiyemuhitaji mwenzie hadi uone kua majirani si kitu au ushindwe kuingiliana nao.

Trust me nature inaweza kukupiga tukio moja tu hadi wewe mwenyewe ukarudi kwenye mstari... Mtoa mada kabla nature haijachukua njia zake get out na usalimiane na watu usije jutia. Tumeumbwa kama vidole vya mkono kidole kimoja hakiwezi jitenga pekee yake halafu kiseme kinaweza kutengeneza ngumi.

Kidole gumba ni kikubwa ila kinategemea vidole hivi vidogo kushirikiana ilie watengeneze ngumi imara. Hata kama una uwezo mkubwa mate hado hao watu wa chini unawahitaji kuliko kawaida.

I don’t pretend to be alone,
I live my life to the fullest,

Binadamu ni wanafki na hao hao ni vyanzo vya matatizo

Hao hao unaotengeneza mazingira ya kuwasogelea wanaweza wakakuundia jambo ukashangaa na roho yako,

Sina mazoea ya kukaribisha watu Kwenye maisha yangu kwa sababu ya ujirani ,
Watu wanaflow kwenye maisha Natural kama nature inawahitaji muwe karibu mtakuwa bila kutumia nguvu.
 
Mimi sitaki kuanzisha nao urafiki, nataka tu ule ujirani mwema na kujuana kwamba huyu anakaa mtaa huu na kukiwa na tukio lolote basi kunakua na ule ushirikiano wa kijirani. Sio mazoea ya ajabu ajabu.

Huyu jirani yangu upande wa kushoto yeye hajaweka fensi na yupo muda kidogo hapa mtaani, kama miaka minne mitano ivi. Juzijuzi nilienda kumsalimia maana bado ni kijana kijana tukawa tunabadilishana mawazo. Aisee nilishangaa jinsi anavyofahamiana na kila mtu, watu wakipita (kuna barabara kwa mbele, kama mita 20 - 30 kutoka ilipo nyumba) lakini wanasalimia, wanapunga mikono nk. Wenye magari wanapiga honi, wanashusha vioo wanapunga mikono... kwakweli nilisikia wivu sana.
Siku nyingine ukiwa kwenye situation kama hiyo na wewe wachangamkie hata kama hamjawahi kuzungumza, hautapoteza chochote na ndio mwanzo wa kufahamiana
 
Utashangaa jirani na mbali zaidi wote wanakufahamu wanakuangalia tu. Nikupe incident tatu zimetokea nikajua kumbe watu wanakuchora tu
1.niliharibikiwa na gari mbali kidogo na home nikachukua bajaj kurudi home kutafuta alternative, yule wa bajaj akaanza kukata mitaa nikamuuliza wewe unajua unapoenda? akasema blaza si unakaa pale pako hivi na hivi...nikaishiwa pozi
2.Nimeenda dukani hardware kununua vitu sasa nataka mtu apeleke nyumbani mimi naenda kazini, kaitwa bodaboda akapewa nampa maelekezo ananiambia aah blaza si kwenye kona pale hivi na hivi!
3.wengine nimekuta masela wanaziba mashimo barabarani wakaniwahi blaza wa pale hivi na hivi tutoe leo pozi likaisha
Yaani watu wote wanakufahamu unapokaa,unaendesha gari gani etc ila unapita huongei na mtu wanakuangalia tu. siku moja moja shusha kioo wasalimie watu mtaani.
Eeh tabia ya kufunga vioo nayo sio hio! Mie huwa napenda kusalimia tu majirani ila sipendi mazoea nao 😅😅😅
 
Wengine hawajagi 😅😅😅 cha muhimu aseme kuna bia za bure aone 😅
Tofauti na huko mbele, huku kwetu ukimkaribisha jirani kwako pamoja na kufaidika kwa fadhira zako, anatumia ku-scan nyumba yako nje ndani baada ya siku kadhaa unapata ugeni wa majambazi usiku mwigi.😀
 
Wengine hawajagi [emoji28][emoji28][emoji28] cha muhimu aseme kuna bia za bure aone [emoji28]
Kwa mahali alipo siyo rahisi kuwapata watu kwa tangazo la namna hiyo.
Mitaa hiyo watu mara nyingi wana ratiba zao binafsi, so ukiwaalika bia wataona hakuna ulazima wa kuja, wata-mute.
Upate tatizo halafu uwatangazie hapo wanaweza kuja.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom