Nifanyeje nizoeane na majirani?

Na mara moja moja apige kinywaji kigrosari cha jirani hapo.
 
Bila shaka wewe ni mtu wa asili ya Pwani.
 
Anza kusali Jumuiya utawapata majirani wengi sana
Wewe sijui ni wangapi.. Unatoa ushauri huu wa jumuiya.. Upo sahihi kabisa kabisa.. Jumuiya ni kitu muhimu sana sana.. Nimepitia situation za kuhamia mitaa ya vigogo aisee kabla sijajiunga jumuiya nilijuta kuishi huko. Ila baada ya kujiunga mimi ndie m.kiti wao.. Haijalishi mavyeo yao Serikalini au wapi? Maisha yamekuwa mazuri yenye amani na mshikamano mkubwa.

Walioanzisha jumuiya aisee. Mungu asiwasahau katika ufalme wake.
 
Haaaaa Haaaaa πŸ˜‚
 
Kitaani nilicho NOTE watu wenye unafuu wa maisha lets say labda ana uchawi wa kijapani/mzungu,"Mtama kwa Watoto aka Mpunga" au utajiri wa kibongo nyumba inayoeleweka basi vijana wanamfahamu sana.
 
Hapo ndio huwa nawapendaga walevi ,aisee muda mchache sana hapo mtaan kama kuna kagrocery tayari unapata washkaji unapata majiran
 
Hapo ndio huwa nawapendaga walevi ,aisee muda mchache sana hapo mtaan kama kuna kagrocery tayari unapata washkaji unapata majiran

Walevi ni fasta kujuana ukienda siku moja ukishusha kreti za kutosha fasta unapata majirani.

Au kama unatoa huduma za maji basi kila j1 au j2 unawapa offer ya maji bure.
 
Ulipohamia ilipaswa kwenda kugonga hodi na kujitambulisha kwamba wewe ni Jirani. Sasa ushawaletea madharau
 
Panga matukio ya kujumuika pamoja kisha uwaalike majirani zako, kitu kama birthday yako au watu wa karibu, wakaribishe kwako muangalie pamoja luninga ili mzoeane, hayo ndio maisha ya wenzetu kule mbele.
 
Unden group la whatsapp
 
Panga matukio ya kujumuika pamoja kisha uwaalike majirani zako, kitu kama birthday yako au watu wa karibu, wakaribishe kwako muangalie pamoja luninga ili mzoeane, hayo ndio maisha ya wenzetu kule mbele.
Wengine hawajagi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… cha muhimu aseme kuna bia za bure aone πŸ˜…
 
Sasa yeye si kajimix, ila hili tatizo hata mie ninalo siwezagi kuzoeana na watu kizembe wa mtaani! Sipendagi tu yale mazoea ya kujuana juana sana
 

I don’t pretend to be alone,
I live my life to the fullest,

Binadamu ni wanafki na hao hao ni vyanzo vya matatizo

Hao hao unaotengeneza mazingira ya kuwasogelea wanaweza wakakuundia jambo ukashangaa na roho yako,

Sina mazoea ya kukaribisha watu Kwenye maisha yangu kwa sababu ya ujirani ,
Watu wanaflow kwenye maisha Natural kama nature inawahitaji muwe karibu mtakuwa bila kutumia nguvu.
 
Mimi sitaki kuanzisha nao urafiki, nataka tu ule ujirani mwema na kujuana kwamba huyu anakaa mtaa huu na kukiwa na tukio lolote basi kunakua na ule ushirikiano wa kijirani. Sio mazoea ya ajabu ajabu.

Siku nyingine ukiwa kwenye situation kama hiyo na wewe wachangamkie hata kama hamjawahi kuzungumza, hautapoteza chochote na ndio mwanzo wa kufahamiana
 
Eeh tabia ya kufunga vioo nayo sio hio! Mie huwa napenda kusalimia tu majirani ila sipendi mazoea nao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wengine hawajagi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… cha muhimu aseme kuna bia za bure aone πŸ˜…
Tofauti na huko mbele, huku kwetu ukimkaribisha jirani kwako pamoja na kufaidika kwa fadhira zako, anatumia ku-scan nyumba yako nje ndani baada ya siku kadhaa unapata ugeni wa majambazi usiku mwigi.πŸ˜€
 
Wengine hawajagi [emoji28][emoji28][emoji28] cha muhimu aseme kuna bia za bure aone [emoji28]
Kwa mahali alipo siyo rahisi kuwapata watu kwa tangazo la namna hiyo.
Mitaa hiyo watu mara nyingi wana ratiba zao binafsi, so ukiwaalika bia wataona hakuna ulazima wa kuja, wata-mute.
Upate tatizo halafu uwatangazie hapo wanaweza kuja.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…