Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

PSL god

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
12,573
Reaction score
9,076
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
 
Sometimes kataa ndoa wapo sahihi, sometimes hawapo sahihi.

Ww tafuta njia ya kuepukana na upweke hata kama hy njia ina mapungufu.

Kwa asilimia 80 hadi 90 ndoa sio suluhisho la upweke.

Jamii inayomzunguka mhusika aliyoijenga wakati ananguvu/pesa/madaraka ndo vitasaidia walau kwa asilimia 20 kumuondolea mtu upweke.
 
Hayo maisha sio ya kila mtu tuachie sisi wewe oa usijiforce sana utajifia… Sisi wengine tumekua udogoni since tuko under 10yrs unakuta home hamna tv, hamna umeme unakuta unalelewa na single parent alafu ubaya we ndo mtoto wa pekee huna w kucheza nae mzazi anaingia mishe sometimes anarudi home mida mibovu anakuta jembe lake unamsubiri unakiangalia kibatari hadi kinaisha wese imagine from saa moja usiku (naanzia muda huo maana hata kama kulikuwa na companya ya watoto wa wengine basi muda huo inabidi kilq mtu aende kwao so unajikuta ndani mwenyewe) hadi saba usiku unasubiri mzee arudi ndo akuletee msosi ule ndo ulale so hiyo imetufanya tumekuwa introvert ndo maana kwetu hadi sasa tumekuwa kuishi na watu ni usumbufu sana it feels cool kuwa peke yetu.
 
Aah najisikia kufa kufa aseee kumbe ni ngumu hivi utasema nimeumizwa na mapenzi au biashara kumbe sio hivyo

Eeh Mungu nipe roho ngumu 😢
Mungu hawezi kuhusika kwenye mambo madogo ambayo yapo ndani ya uwezo wako.
Em piga nyeto bao moja tuu uone huo usingizi utakaoupata, kuamka itakuwa kesho kutwa usiku ili uone giza ulale tena 🔥
 
Fanya kazi mkuu,kila mtu ni mpweke.Kama mimi hapa nina upweke ila nakomaa,ndo maisha yalivyo.Bora wewe unaonekana una mihela sie wengine ndo tafrani hali ngumu. Mimi ningekuwa na hali nzuri saa hii ningewasha gari huyoooo duniani kuona mambo yanayotokea usiku na refresh narudi.
 
 
Back
Top Bottom