Don Buyoya
Senior Member
- Jun 13, 2024
- 114
- 363
Yeah, wengi huwa hawajui tofauti kati ya upwiru na upweke, na vyote vinaanza na 'upw' yaan ni kuchanganya tuKashindwa kusema upwiru umemkaba 😂
Yeah, wengi huwa hawajui tofauti kati ya upwiru na upweke, na vyote vinaanza na 'upw' yaan ni kuchanganya tuKashindwa kusema upwiru umemkaba 😂
Siwezi kutoka saivi nafanya kazi mzeeFanya kazi mkuu,kila mtu ni mpweke.Kama mimi hapa nina upweke ila nakomaa,ndo maisha yalivyo.Bora wewe unaonekana una mihela sie wengine ndo tafrani hali ngumu. Mimi ningekuwa na hali nzuri saa hii ningewasha gari huyoooo duniani kuona mambo yanayotokea usiku na refresh narudi.
Fanya kazi sasa mkuu,happiness will come to you siku za usoni don't worry.Siwezi kutoka saivi nafanya kazi mzee
Kama sio tiba sasa mbona una upweke.Punyeto sio tiba
Mkuu sijaelewa![]()
Je mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka hamsini anaweza kuolewa na kuzaa
Mara nyingi utakuta mwanamume mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini anaoa na kuzaa na mwanamke wa umri wowote ule na mara nyingi wanaume wenye pesa ndio wanafanya hivyo na wanawake wanawakubali.Je kwa mwanamke inakuwaje? utakuta mwanamke huyu anajua kupenda na kuwa na hamu ya kuwa na mume lakini...www.jamiiforums.com
Kuhusu nnI'm confused
Jitahidi tu usipige nyeto.Asee utu uzima dawa 🙄
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Nakuuliza una upweke khs nn afu unanipa taarabu ili tena nkuulize una upweke wa nn 🙌 kweli sisi n wabongo 😂Cause ya upweke maana nilikua vizuri tu ghafla vuu imenikuta kitu
hebu funguka vizuri tukusaidieAsee utu uzima dawa 🙄