Hayo maisha sio ya kila mtu tuachie sisi wewe oa usijiforce sana utajifia… Sisi wengine tumekua udogoni since tuko under 10yrs unakuta home hamna tv, hamna umeme unakuta unalelewa na single parent alafu ubaya we ndo mtoto wa pekee huna w kucheza nae mzazi anaingia mishe sometimes anarudi home mida mibovu anakuta jembe lake unamsubiri unakiangalia kibatari hadi kinaisha wese imagine from saa moja usiku (naanzia muda huo maana hata kama kulikuwa na companya ya watoto wa wengine basi muda huo inabidi kilq mtu aende kwao so unajikuta ndani mwenyewe) hadi saba usiku unasubiri mzee arudi ndo akuletee msosi ule ndo ulale so hiyo imetufanya tumekuwa introvert ndo maana kwetu hadi sasa tumekuwa kuishi na watu ni usumbufu sana it feels cool kuwa peke yetu.