Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Ile story ina page 200 nani asome episode ziko 150+ alafu ndefu kinoma mi sikuweza kuisoma asee niliishia kusoma za Analyse ndo huwaga nzuri nzuri

Una bonyeza username yake unasoma zake tu.. Njia rahisi kusoma posts za mdau humu..

Yeah na ya Analyse nzuri

Utajiongeza HUK unazionaje.. true life story nzuri.. Tunasubiria muendelezo.. INSHALLAH
 
Upweke wengi wanao sema sio wa kuchukulia serious sanaa 🤣🤣🤣🤣 ndio maana unafukua nyuzi za enzi ya Nyerere kumbe upweke 😂😂😂 ngoja dada yako fake p aje kukushauri mpweke
Siwezi kumshauri huyu kwenye I'd yake ile nyingine ni Anakifafa🤣🤣
Fake P njoo rafiki 😊
JF Pana sana, kwa hii I'd kama sio wewe Upo na utimamu🤣🤣 Uoga tu 😏😏😏
 
Siwezi kumshauri huyu kwenye I'd yake ile nyingine ni Anakifafa🤣🤣

JF Pana sana, kwa hii I'd kama sio wewe Upo na utimamu🤣🤣 Uoga tu 😏😏😏
Kumbe janja janja nyingi ni sawa na yule anaetumia vinaniliu ukiona I'd inayotumia vile vinaniliu ujue ni yeye kaja kvingine
 
Naamini akili Yako mwenyewe inakuambia ni umri ulitarajiwa uwe na family, 35+ umesema !. Hujachelewa, tengeneza family Mungu akupe mke mwema utakua tofauti.
 
Back
Top Bottom