Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Tafuta ndugu ukae nae ,agiza house girl aje pia mkuu,kuoa sio suluhisho la upweke unaweza kuoa na ukawa bado mpweke ,mwenza aje taratibu
akae na house girl huko ni sawa na kuweka asali ndani ama kutumia mua kama fimbo yakutembelea!
 
Bas shida ndio hii.
Sasa bob, mbona umechangamka sana huku kwenye maandishi? Apply hii huko ma imbix siku hiz unatongoza tu hata kwa message.
Hahaha JF niko free sababu niko unknown mkuu real life mi mkimya sana ndo maana

Anyway mi siwezi tongoza live live acha niteseke tu hivi hivi
 
Asikwambie mtu, upweke ni balaa.
Mtu anakunywa bia 4+ anarudi nyumbani anakunywa dawa za usingizi waapi macho hayafumbi hadi asubuhi.

Na kama si upweke kuna kitu kinaitwa anxiety, sema vinatibika mtu akiwaona wataalam wa afya.

Usingizi ni dawa.
Kasie Urevedi?
 
Back
Top Bottom