Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
😂😂😂😂1. Pesa unayo? Ya kutosha?
2. Hobi yako ni nini?
3. Acha kufukua makaburi ya nyuzi za zamani, sio suluhisho la upweke ulionao.
😂😂😂😂1. Pesa unayo? Ya kutosha?
2. Hobi yako ni nini?
3. Acha kufukua makaburi ya nyuzi za zamani, sio suluhisho la upweke ulionao.
nita jaribu kufanya hivyo.Find new thing that will interest you until you are bored again the cycle goes on and on...
Tatizo la huyo mleta uzi kalificha ni nguvu za kiume.una mtoto?kama huna huo upweke unasababishwa na hilo au kutokuwa na mtu yaan mwanamke full stop
Atakuambia majini yamesema huyo msukule wa mudi boyKwann miezi hiyo tu!
Utawadanganya wote siyo mimi ...tatizo lako linausiana na kushindwa kuwa na mwanamke ..pia ndani yake nguvu lazima ziwe pungufu ...usipo sex na wanawake kwamuda mrefu pia kunazidisha kupoteza nguvu za kiume ..kwa ujumla lifestyle inachangia kuua nguvu za kiumeWala hata mkuu it's more deep
Wewe si kataa ndoa wewe? Baki humo humoAsee utu uzima dawa 🙄
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Wana vibe wamechangamka, hawaishiwi vitimbwiKwann miezi hiyo tu!