PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,573
- 9,076
- Thread starter
- #141
Asante mkuuPole sana kaka kumbe kila siku tunacheka hapa na tulikuwa hatujui kwamba mwenzetu unapitia kipindi kigumu, by the way hiyoo halii naifahamu sanaaa maana na Mimi nimewahi kupitia pia kaka
Ushauri usitafute DEMU atakuongezea mawazo ila tafuta mwanamke aliyetulia dumu nae ikiwezekana mambo mengine yafate