Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Ni kawaida kwa mtu mzima mwenye akili timamu kuwa na upweke na anxiety kwa kiasi fulani. Kuna tofauti kubwa sana ya utoto/ujana na utu uzima - Majukumu/ kazi/kukimbizana na malengo etc.lazima vije kichwani.
Ukiona unaweza kukaa peke yako na kiasi chake ukawa na amani au utulivu wa akili basi umeshinda, ukiona ukikaa kitandani tu kidogo peke yako tayari huzuni zinaanza na upweke na ukasema uende sijui Bar au ukatafute mwanamke huko ni kukimbia tatizo - lazima ujue chanzo cha wasiwasi na huzuni ni nini..
Wengine wanashauri meditation
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
hata upate mtu haitakusaidia,unatakiwa ujifunze to be friend yourself first otherwise utakuwa mzigo kwa utakayempata. hujipendi shida ndo hiyo,learn to love yourself fully,utampa nini huyo wakati huna na umeshindwa kujipa mwenyewe?
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑

Pole sana.
Kumbe kufukua makaburi ya zamani ni sababu ya kukosa kumbato.
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
No fap umefika siku ya ngapi mkuu
 
Kupata furaha kwa mapenzi ya demu, ni artificial na success rate ni 0.001%, jitafutie furaha mwenyewe, hao binadamu wa kike wanaweza kukupigaa sonona, be happy yourself kwanza ndyo uchague unayemtaka, hata akikuzingua hauwezi teseka.
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Unataka kuasi chama lenu la kataa ndoa.
 
Sasa kumbe hauna demu wala mke? Shida yako ndio hiyo tu...

Tafuta mwanamke akutulize japo inasemekana kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukichanganyikiwa na kukuchanganya ukitulia...
 
Asikwambie mtu, upweke ni balaa.
Mtu anakunywa bia 4+ anarudi nyumbani anakunywa dawa za usingizi waapi macho hayafumbi hadi asubuhi.

Na kama si upweke kuna kitu kinaitwa anxiety, sema vinatibika mtu akiwaona wataalam wa afya.

Usingizi ni dawa.
una rudi nyumbani hata mood ya kupika aua kula huna, yaani una ona una rudia process zile zile tu.
 
Kata ndoa hawapingani na mahusiano ya mwanaume na mwanamke, wanachopingana nacho ni ule mkataba wa kitapeli. Mimi binafsi naishi na mwanamke na nimefuata taratibu zote za kumchukua kutoka nyumbani kwao lakini ule mkataba wa ndoa siwezi kusaini kwa sababu kwa ndoto nilizokua nazo endapo ndoa ikivunjika mbele ya safari nitaanguka pakubwa sana
Naunga mkono hoja yako, ndoa ni mkataba wa KITAPELI.
 
Kata ndoa hawapingani na mahusiano ya mwanaume na mwanamke, wanachopingana nacho ni ule mkataba wa kitapeli. Mimi binafsi naishi na mwanamke na nimefuata taratibu zote za kumchukua kutoka nyumbani kwao lakini ule mkataba wa ndoa siwezi kusaini kwa sababu kwa ndoto nilizokua nazo endapo ndoa ikivunjika mbele ya safari nitaanguka pakubwa sana
Kwahy unakaa nae kitaalamu 😎
 
Back
Top Bottom