Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Basi kama utaweza badili hiyo habit.
Pamoja na kwamba wewe ni mwanaume ila ni binadamu. You need to be loved and being taken care of in some ways. I suggest
It'd be better if you find that kind of intimacy relationship where u'll be able to share your thoughts, feelings, hopes, dreams and experiences you hold as a human being.

Tazama, hapa tunabuni tu kuhusu upweke wako ila kama ungekuwa na wa ubavu wa kushare nae, perhaps hata hili jambo usingelileta huku. Au hata lisingetokea kabisa!
 
Niliwahi soma kitabu kimoja, kuna sehem kinasema....

"Binadamu hata awe vipi kifedha, umashuhuri, power n.k, kuna nyakati huwa ndani ya nafsi yake anahisi upweke wa hali ya juu",

Alaf mwandishi akaelezea; Upweke huo ni nafasi ya Mungu, kuwa hata iweje kutakuwa na gap flan ivi utakayoihisi kwenye nafsi yako (upweke)...na gap hiyo inapaswa kuwa filled na Mungu....

Sijui ina ukweli kiasi gani, ila kiasi flani kwangu nasadiki
Shukran mkuu
 
Basi kama utaweza badili hiyo habit.
Pamoja na kwamba wewe ni mwanaume ila ni binadamu. You need to be loved and being taken care of in some ways. I suggest
It'd be better if you find that kind of intimacy relationship where u'll be able to share your thoughts, feelings, hopes, dreams and experiences you hold as a human being.

Tazama, hapa tunabuni tu kuhusu upweke wako ila kama ungekuwa na wa ubavu wa kushare nae, perhaps hata hili jambo usingelileta huku. Au hata lisingetokea kabisa!
Naam ushauri wako mzur sana Asante mkuu
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Pole sana kaka kumbe kila siku tunacheka hapa na tulikuwa hatujui kwamba mwenzetu unapitia kipindi kigumu, by the way hiyoo halii naifahamu sanaaa maana na Mimi nimewahi kupitia pia kaka

Ushauri usitafute DEMU atakuongezea mawazo ila tafuta mwanamke aliyetulia dumu nae ikiwezekana mambo mengine yafate
 
Fanya kazi mkuu,kila mtu ni mpweke.Kama mimi hapa nina upweke ila nakomaa,ndo maisha yalivyo.Bora wewe unaonekana una mihela sie wengine ndo tafrani hali ngumu. Mimi ningekuwa na hali nzuri saa hii ningewasha gari huyoooo duniani kuona mambo yanayotokea usiku na refresh narudi.
Mmmmh aiseee kwahiyo wale wanao miliki magari hawapo jamiiforums siku izii
 
Basi kama utaweza badili hiyo habit.
Pamoja na kwamba wewe ni mwanaume ila ni binadamu. You need to be loved and being taken care of in some ways. I suggest
It'd be better if you find that kind of intimacy relationship where u'll be able to share your thoughts, feelings, hopes, dreams and experiences you hold as a human being.

Tazama, hapa tunabuni tu kuhusu upweke wako ila kama ungekuwa na wa ubavu wa kushare nae, perhaps hata hili jambo usingelileta huku. Au hata lisingetokea kabisa!
Ukishategemea binadamu kwenye furaha yako. Sio tu utateseka na upweke, unaweza kufa na sonona.

Unaona wale wanachomana na magunia ya mkaa au kupigana risasi. Chanzo ni hicho, kuona dunia yako haiendi pasipo love, care na support ya mtu ambaye nae anakupiga tukio
 
Kwa asilimia 80 hadi 90 ndoa sio suluhisho la upweke.

Jamii inayomzunguka mhusika aliyoijenga wakati ananguvu/pesa/madaraka ndo vitasaidia walau kwa asilimia 20 kumuondolea mtu upweke.
Utu uzima dawa

Binafsi nisipokuwa na pesa ama career life imeenda mrama. Hapo ndipo huwa naona emptyness hutokea Ila nikiwa vizuri ni nadra
 
Asikwambie mtu, upweke ni balaa.
Mtu anakunywa bia 4+ anarudi nyumbani anakunywa dawa za usingizi waapi macho hayafumbi hadi asubuhi.

Na kama si upweke kuna kitu kinaitwa anxiety, sema vinatibika mtu akiwaona wataalam wa afya.

Usingizi ni dawa.
Anxiety ni sahihi inaweza kumpitisha mtu kwenye hiyo hali halafu watu hawaijui mm ilishanitokea 2022 sema licha ya psychologist inahitaji muda kuondoka si kitu cha kutibika kwa masaa
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Weka house girl ....tatizo lako ni nguvu za kiume.....ndilo linalo kusumbua...na ukimweka house girl usiwaambie watu kuwa ni house girl, waache wawe na question mark ❓ problems solved in first stage...and keep going to Farther step
 
Tafuta mke uoe miaka 35 kuishi kihuni huni kama mtu mwenye miaka 21 siyo kitu kizuri, ujana unaondoka huo we endelea kudanganywa na sisi tunaokataa ndoa wengi tuko under 30 na unatakiwa ukae na watu wanaojua ku balance stori.

Mi pia nakaribia kufika 30 kwa muda wote nimeishi kukimbizana na future mapenzi nimeweka pembeni ila kwa sasa nimeanza kukosa amani kuishi maisha ya kibinafsi kujenga familia ni kitu cha msingi, ila tu usikurupuke na hawa wapaka makeup kama wall putty ukiona ngoma ngumu rudi ukaoe nyumbani.
 
Nafsi ya mwanadamu imeumbwa kushughulika na vitu na sio kukaa idle muda mwingi.....

Ndio maana wazungu wanasema
"Idle mind is a devil workshop"

Ukikaa kaa tu idle bila purpose yoyote lazima nafsi itawaliwe na fikra mbaya kwa kuwa ulimwengu wenyewe umezungukwa na fikra vibaya vibaya tu......

Tafuta purpose ya kushughulika nayo....au hobby itakayochukua muda wako wa ziada........

ONYO;
USITAFUTE MKE KAMA DAWA YA KUTIBU UPWEKE........
 
Back
Top Bottom