Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

mkuu hiyo mbona ni pisi yangu kweli utaendelea kuwa mpweke...🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha asee sawa baki naye

ledada mbona hukuniambia kama umechumbiwa? 🙄😢
Huyo Kenzy ni mdogo wanguu🤣🤣hapendi tu mashemeji🤣🤣🤣
 
Kwa asilimia 80 hadi 90 ndoa sio suluhisho la upweke.

Jamii inayomzunguka mhusika aliyoijenga wakati ananguvu/pesa/madaraka ndo vitasaidia walau kwa asilimia 20 kumuondolea mtu upweke.
PSL god chukua hiyo.

Usijidanganye kudhani mke atakuondolea upweke. Kama ni mpweke utabaki mpweke. Oa kwa sababu umechagua kuoa. Huna hata ndugu ukakaa nae hapo kwako?

BTW. Yule Secretary Posta anaweza kukupunguzia upweke. Tambua nasema kukupunguzia
 
Ni sawa na mtu mwenye upara kudhani kuwa akinunua wigi upara utaondoka....
Mifano iko mingi tu, wenye mvi kudhani "Piko" ndio suruhisho, vibogoyo kuwekewa fizi zenye meno meupe ya bandia n.k.....
 
Ni sawa na mtu mwenye upara kudhani kuwa akinunua wigi upara utaondoka....
Mifano iko mingi tu, wenye mvi kudhani "Piko" ndio suruhisho, vibogoyo kuwekewa fizi zenye meno meupe ya bandia n.k.....
Umenena vema mkuu
 
Sometimes kataa ndoa wapo sahihi, sometimes hawapo sahihi.

Ww tafuta njia ya kuepukana na upweke hata kama hy njia ina mapungufu.
Kumbe tuko wengi, hii hali nashindwa kuelewa hata mimi ni mtu wa kukaa mwenyewe sana tu, nikiwa na rudi nyumbani usiku huwa nahisi hivyo, kuna muda nahisi hasira sana, kukataliwa na jamii, kifupi najitahidi kuwa wa kawaida ila kuna muda ni ngumu.
 
Vitu vngne ni kuamua tu, mi nlishaamua kuukataa upweke,nna friends nna tv nna laptop nna cm na internet naanzaje kuwa mpweke kwa mfano? Sema km Kuna mazngira ndo yanakuforce kuwa mpweke Hapo sawa lkn still unaweza kukubaliana na hali halisi na maisha yakasonga, af unaweza ukajiona usijue Kuna watu wengine wanataman the way unaishi
 
Tafuta ndugu ukae nae ,agiza house girl aje pia mkuu,kuoa sio suluhisho la upweke unaweza kuoa na ukawa bado mpweke ,mwenza aje taratibu
 
Asee utu uzima dawa [emoji849]

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 [emoji58]
Tafuta demu awe kazaliwa March, April, May, June, au July.
 
Asikwambie mtu, upweke ni balaa.
Mtu anakunywa bia 4+ anarudi nyumbani anakunywa dawa za usingizi waapi macho hayafumbi hadi asubuhi.

Na kama si upweke kuna kitu kinaitwa anxiety, sema vinatibika mtu akiwaona wataalam wa afya.

Usingizi ni dawa.
Hakuna cha anxiety wala upweke huyo ana nyege tu na kutongoza hawezi anaishia kununua malaya.
So sad.
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑

Ndio maana unafukuaga makaburi ya watu humu....kumbe unakuwaga bored 😂

Enwei,tafuta mahusiano....miaka zaidi ya 35 unaishije peke yako?
 
Back
Top Bottom