Wana vibe wamechangamka, hawaishiwi vitimbwiKwann miezi hiyo tu!
Kweli tupu 👿awe social tu hapo hakuna cha zaidi!!!Mpaka hapo sijaelewa huo upweke wako unatokana na nini!!! usijifungie ndani !!!
jichanganye hata sehemu yenye watu wengi.
Punguza kuwaza sana (Overthinking).
Unashindwa kutongoza wadada wa vibanda vya Mpesa au maduka ya dawa ?Hahaha mkuuu umegusa pale pale [emoji22]
Utajua mwenyeweDaah asee nimenyoosha mikono maumivu ni makali 😭😭😭😭
I Mean since when?Always ila jana usiku ilizidi
Awe mtulivu huyo MWANAMKE sioawe demuPole sana, tafuta Mwanamke utakayependezwa naye.
Hela IPO tayariiTulia, tafuta pesa, pesa ni kila kitu, moyo utatulia, wanawake watajileta wenyewe.
Hua inategemea na mada husika 😎Kuna muda....kuna muda lakini unakuaga na akili timamu kidogo 😂